Podcasts by CHACHU YA MIGOGORO YA MAHUSIANO

CHACHU YA MIGOGORO YA MAHUSIANO

Sababu zinazochochea migongano katika mahusiano na kupelekea watu wengi kushindwa kufurahia maisha na wenzi wao

Further podcasts by Deo Sukambi

Podcast on the topic Bücher

All episodes

CHACHU YA MIGOGORO YA MAHUSIANO
KWANINI WANAUME HUSAPOTI KIRAHISI WATU BAKI KULIKO WAKE ZAO from 2020-04-03T13:34:34

Je, kwanini huwa ni rahisi mume kusapoti mama yake, ndugu zake, rafiki zake, wafanyakazi wenzake, watoto wake? Jibu hili hapa

Listen
CHACHU YA MIGOGORO YA MAHUSIANO
JE, WANAUME HAWAPENDI WANAWAKE WALIOFANIKIWA? from 2020-04-02T15:24:22

Kwanini wanaume hawapendi wanawake wenye uwezo? Je, wapo kinyume na uwezo wao? Na kwanini wanaonekana kuwapenda zaidi wanawake duni? Majibu haya na unaweza kupata ufafanuzi zaidi katika kitabu cha ...

Listen
CHACHU YA MIGOGORO YA MAHUSIANO
CHACHU YA MIGOGORO YA MAHUSIANO from 2020-03-30T13:38:46

Mahusiano ni jambo zuri ikiwa yanakuwa katika hali ya amani na furaha. Tofauti na matarajio ya wengi wanapikuwa kwenye mahusiano Watu wanaumia, wanaumizwa na wanaumizwa. Ikiwa kuna jambo moja ambal...

Listen