Podcasts by Kijana Wa Kiislamu Na Maendeleo.

Kijana Wa Kiislamu Na Maendeleo.

Sehemu itakayo mfungua kijana wa kiislamu na kubadili fikra zake.

Further podcasts by hussein shaibu

Podcast on the topic Islam

All episodes

Kijana Wa Kiislamu Na Maendeleo.
Elimu unazopaswa kuzijua kama kijana wa kiislamu. from 2020-05-30T17:02:54

Ukiishi katika misingi ya kujifunza basi kuna mengi utatakiwa kujifunza kwa faida yako! Nimekuandalia Aina za Elimu ambazo unapaswa kuzijua kama kijana wa kiislamu kwa faida yako na jamii nzima ya ...

Listen
Kijana Wa Kiislamu Na Maendeleo.
Jinsi gani unaweza kuwa na mchango katika jamii yako? from 2020-05-08T20:28:19

Usichukulie udogo wa uchumi wako, umri wako, elimu yako, n.k kuwa ni sababu moja wapo ya kuwa huwezi kuwa na mchango katika jamii yako HAPANA! Sikiliz podcast hii na ujue wapi pa kuanzia.

Listen
Kijana Wa Kiislamu Na Maendeleo.
Yajue mambo matano muhimu ya kuwek malengo makubwa katika Ramadhani hii. from 2020-04-22T21:15:23

Si rahisi kufika daraja za juu kimaisha na hata kiimani kama hatuma lengo mama au malengo mengine yanayoliunga lengo kuu, wewe ni kiumbe uliyeumbwa kwa lengo maalumu vipi uishi pasi malengo katika ...

Listen