Podcasts by NMU PODCAST

NMU PODCAST

NMU PODCAST is a digital platform established essentially to present the themes in audio forms and make them available to all internet users either by downloading or listening to them online.
Together with other interesting stuffs NMU podcast presents amazing contents based on analysis and interviews about entertainments, relationships, lifestyles discoveries as well as history and biographies which are then published to all famous audio platforms including the Apps
You can easily access all what we release for you simply by liking and following us on our S/m media platforms @nextmusicuniverse

Further podcasts by martine

Podcast on the topic Musikinterviews

All episodes

NMU PODCAST
KWANI NI LAZIMA KUJIBU KILA SWALI KWENYE INTERVIEW?? from 2021-06-17T10:22:42

   Katika pita pita Zetu kwenye mitandao ya kijamii Tumekutana na mjadara mzito kwenye moja ya page , ikiweza kusemea msanii ibraah kutoka konde gang, kuwa sio lazima saana kujibu...

Listen
NMU PODCAST
MY KISARAWE EXPERIENCE (WITH ANTIDIUS MARTINE) from 2021-04-14T13:00

Karibu tena kwenye episode nyingine ya NMU PODCAST, Kutana na mwanzirishi wa NMU PODCAST Mr Antidius martine) Kila Mwanadamu kuna vitu anapenda katika maisha, wapo wanaopenda mziki, Movies , Mpira...

Listen
NMU PODCAST
E.P AS SHORT ALBUM ( EXTENDED PLAY) from 2021-04-07T11:00:22

karibu kusikiliza episode hii mpya ambayo nmu podcast tumekuandalia, Kwenye episode hii tumezungumzia, maana ya E.P kwa undani zaidi, Pia tumeenda mbali na kuonesha E.p inatakiwa kuwa na Miziki ...

Listen
NMU PODCAST
WHY MOST ARTIST TEND TO RELEASE MUSIC ON FRIDAY...!!! from 2021-02-27T09:12:50

Karibu tena kwenye episode nyingine ya NMU PODCAST kwenye episode hii tumeongelea, kwanini wanamuziki wengi upendelea kuachia nyimbo au kazi zao za mziki siku ya Ijumaa, Je Kunafaida inapelekea ...

Listen
NMU PODCAST
KWANINI AUDIO UTANGULIA KWANZA KULIKO VIDEO KWENYE MZIKI ..? from 2021-02-26T08:13:04

Kwenye Episode hii tumeongelea kwanini audio ndo utangulia kabla ya Video pale ambapo msanii anataka kuachia kazi, mala nyingi saana waga tunaona audio ndo inatangulia sana kwenye platform nying...

Listen
NMU PODCAST
VALENTINE ADVENTURE IN NMU PODCAST from 2021-02-06T05:00

Karibu tena kwenye episode nyingine, kwenye episode hii tumeongelea namna ambavyo watu mbalimbali utumia muda wao kufurahia na kushrekea siku ya Valentine, Tumezoea na tumekuwa tukisikia kuwa Va...

Listen
NMU PODCAST
KARIBU NMU PODCAST 2021 ITS NEW YEAR GOAL from 2021-02-03T15:16:51

Tunakukaribisha kwenye platform yetu hii ya NMU PODCAST na huu ni msimu mpya wa 2021 ambao utakuwa na mambo mengi mazuri na makubwa ambayo utaenjoy kutusikiliza na kutufatilia . karibu NMU PODCA...

Listen
NMU PODCAST
THE POWER OF MUSIC BEYOND ENTERTAINMENT SESSION FIVE (FINAL SESSION) from 2020-10-31T05:00

Karibu Kwnye final session ya The power of Music Beyond Entertainment,  Imekuwa wakati mzuri na session bora na wanafamilia ya nmu podcast, kwenye hii episode ya mwisho tumekusogezea mambo ...

Listen
NMU PODCAST
BONUS FOR THE POWER OF MUSIC BEYOND ENTERTAINMENT from 2020-10-30T14:15:45

Karibu kwenye familia .

--- Send in a voice message: https://anchor.fm/martine945/message

Listen
NMU PODCAST
THE POWER OF MUSIC BEYOND ENTERTAINMENT SESSION FOUR from 2020-10-19T08:42:20

Karibu Nmu Podcast Tuendelee na Topiki Yetu kama session nyingine zilizopita zimekuwa nawe zikikupasha juu ya Nguvu ya mziki, Karibu    tusikilize hapa Jinsi mziki Umekuwa sehemu ...

Listen
NMU PODCAST
THE POWER OF MUSIC BEYOND ENTERTAINMENT SESSION THREE from 2020-10-13T10:15:10

Karibu kwenye episode Yetu hii mpya, Kwenye session 3 ya The power of music beyond entertainment, kwenye session hii tumeongelea kwa undani sana nguvu ya muziki nje ya burudani, kwa kuangazia up...

Listen
NMU PODCAST
THE POWER OF MUSIC BEYOND ENTERTAINMENT SESSION TWO from 2020-09-20T06:24:28

Karibu kwenye episode Yetu hii mpya, Kwenye session ya pili ya The power of music beyond entertainment, kwenye session hii tumeongelea kwa undani sana nguvu ya muziki nje ya burudani, kwa kuangazia...

Listen
NMU PODCAST
THE POWER OF MUSIC BEYOND ENTERTAINMENT SESSION ONE from 2020-09-12T07:00

*THE POWER OF MUSIC BEYOND ENTERTAINMENT* 🌀session #1 Karibu Sana kwa mara nyingine Tena msikilizaji wa NMU PODICAST, ambapo leo tunakuletea mjadala Kuhusu *THE POWER OF MUSIC BEYOND ENTERTAINME...

Listen
NMU PODCAST
UNPACKING MENTORS AND BRAINSTORMING ON MUSIC INDUSTRY WITH LIGHTNESS & VAILETH from 2020-08-29T03:00

Kwenye hii episode Tumekaa na Lightness na Vaileth , kuzungumzia kiundani zaidi kuhusu mziki na tasinia kiujumla, kwenye hii episode wamegusa mambo mengi saana , zikiwemo changamoto wanazupitia ...

Listen
NMU PODCAST
MEET MOLLY PASSION (ARTIST) WITH HIS TRUMPET , TALKING ABOUT MUSIC EXPERIENCE session 2 from 2020-08-18T15:00

Karibu kwenye episode hii , ambayo inakukutanisha na Molly Passion msanii wa muziki wa Bongo, ambaye anafanya mziki mzuri saana wa kisasa, Kupitia episode hii Molly passion ameweza kuzungumzia m...

Listen
NMU PODCAST
MEET MOLLY PASSION (ARTIST) WITH HIS TRUMPET , TALKING ABOUT MUSIC EXPERIENCE session one from 2020-08-18T15:00

Karibu kwenye episode hii , ambayo inakukutanisha na Molly Passion msanii wa muziki wa Bongo, ambaye anafanya mziki mzuri saana wa kisasa, Kupitia episode hii Molly passion ameweza kuzungumzia m...

Listen
NMU PODCAST
THE POWER OF STORY TELLING IN MUSIC SESSION TWO.. from 2020-08-06T03:00

Kwenye Episode hii Tumeongelea Nyimbo ambazo wasnii Nguli watatu wameweza kutumia adithi zenye ujumbe mzito na kuweza kuziweka kwenye Ngoma, Kwa namna nyingine Tunaweza kusema wasanii hawa wamet...

Listen
NMU PODCAST
THE POWER OF STORY TELLING IN MUSIC from 2020-07-31T05:00

Karibu kwenye Episode nyingine tena ambapo kwenye hii episode tumezungumzia Nguvu ya adithi na simulizi ndani ya muziki, Tumekuwa tukiona wasanii wengi wakijitaidi kutunga nyimbo mbali mbali zen...

Listen
NMU PODCAST
JUKWAA LA KUJITANGAZA AU JUKWAA LA KULIPWA from 2020-07-09T05:26:12

Karibu NMU PODCAST

--- Send in a voice message: https://anchor.fm/martine945/message

Listen
NMU PODCAST
THE CONNECTION BETWEEN FASHION AND MUSIC WITH PYRO POUNDS PART TWO from 2020-07-06T07:44:51

Kwenye Episode hii, Tumekaa na kupiga story na mmoja wa wanamitindo anayekuja kwa kasi kwenye tasinia ya mitindo au fashion, PYRO POUND ameweza kushare mengi kuhusu mitindo na kuzungumza namna f...

Listen
NMU PODCAST
THE CONNECTION BETWEEN FASHION AND MUSIC WITH PYRO POUNDS PART ONE from 2020-07-06T07:35:10

Kwenye Episode hii, Tumekaa na kupiga story na mmoja wa wanamitindo anayekuja kwa kasi kwenye tasinia ya mitindo au fashion, PYRO POUND ameweza kushare mengi kuhusu mitindo na kuzungumza namna f...

Listen