Afrika Ya Mashariki - Changamoto za kiuchumi na maendeleo kwenye ukanda wa afrika ya mashariki - a podcast by RFI

from 2015-03-24T17:06:58

:: ::


Makala haya ya Afrika ya Mashariki inaangazia juu ya changamoto za kiuchumi na maendeleo kwenye ukanda wa afrika ya mashariki. Katika makala haya watasikika baadhi ya raia wa Tanzania waishio maeneo ya mpakani, na pia mahojiano na waziri wa Tanzania kwenye jumuiya ya afrika ya mashariki Dr Harrison Mwakyembe akiangazia baadhi ya changamoto kwenye miradi ya kikanda inayoshirikisha jumuiya ya afrika ya mashariki.

Further episodes of Afrika Ya Mashariki

Further podcasts by RFI

Website of RFI