Podcasts by Afrika Ya Mashariki

Afrika Ya Mashariki

Kwenye makala ya Afrika ya Mashariki unahabarika na kuelimika juu ya changamoto za maisha ya wananchi wa Afrika Mashariki na eneo zima la maziwa makuu. Usipitwe na Makala ya Afrika ya Mashariki kwani unapata nafasi ya kutoa mawazo yako na kusikiliza wataalamu mbalimbali watakaokuwezesha kubadili fikra na kufikia maendeleo endelevu.

Further podcasts by RFI

Podcast on the topic Nachrichten

All episodes

Afrika Ya Mashariki
Changamoto za wagonjwa wa ukoma nchini Tanzania from 2022-01-25T17:36:54

Tunaangazia juu ya kituo cha wagonjwa wa ukoma na vikongwe kilichoko Kolandoto, mkoani Shinyanga, Tanzania. RFI imefika kituo cha Kolandoto ambapo kituo hicho kilichojengwa mwaka 1914 maalumu ...

Listen
Afrika Ya Mashariki
Changamoto za usalama barabarani nchini Tanzania from 2022-01-18T16:20:02

Leo tunaangazia juu ya  changamoto za usalama barabarani nchini Tanzania. Kwa namna ya pekee utawasikia wadau mbalimbali wa vyombo vya moto huko mkoani kagera wakiangazia changamoto walizonazo...

Listen
Afrika Ya Mashariki
Kupambana na ulanguzi wa binadamu Afrika Mashariki from 2022-01-11T17:39:26

Leo tunaangazia juu ya mapambano dhidi ya biashara, unyonywaji na usafirishaji binadamu kwenye ukanda wa afrika ya mashariki. Kwa mjibu wa mtaalamu wetu Bi. Winnie Mtevu kutoka Nairobi Kenya, ...

Listen
Afrika Ya Mashariki
Matukio makubwa yaliyotokea mwaka 2021 Afrika Mashariki na Kati from 2022-01-05T07:31:21

Leo tunaangazia sehemu ya pili na ya mwisho ya baadhi ya makala zilizoletwa kwako mwaka uliopita wa 2021. Baadhi yake ni pamoja na utengenezaji wa nishati mbadala nchini Tanzania,  uhusiano ba...

Listen
Afrika Ya Mashariki
Mkusanyiko wa baadhi ya matukio ya mwaka 2021 from 2021-12-28T17:24:06

Tunaangazia sehemu tu ya baadhi ya makala zilizoletwa kwako mwaka huu wa 2021. Baadhi yake ni pamoja na uhusiano baina ya jamii ya wakimbizi na wenyeji Tanzania, Uhusiano baina ya wenyeji na r...

Listen
Afrika Ya Mashariki
Changamoto za mimba za watoto wa kike nchini Tanzania from 2021-12-22T08:03:36

Leo tunaangazia juu ya  tatizo la mimba kwa watoto wa kike nchini Tanzania hususan nyakati hizi wanafunzi wawapo likizo. Baadhi ya wadau wakiwemo wazazi na viongozi wa kiroho wanaangaziatatizo...

Listen
Afrika Ya Mashariki
Changamoto za waendesha vyombo vya moto nchini Tanzania from 2021-12-14T17:40:09

Leo tunaangazia juu ya  changamoto zinazowakumba waendesha vyombo vya moto nchini Tanzania. Kwa namna ya pekee tutajikita kuongea na wadau wa magari na pikipiki huko mkoani Kagera nchini Tanza...

Listen
Afrika Ya Mashariki
Burundi - Wafuasi wa upinzani kukamatwa from 2021-12-08T15:25:18

Julian Rubavu anaangazia  siasa za Burundi hususan taarifa za kupotea na kukamatwa wafuasi wa vyama vya upinzani kikilengwa zaidi chama cha CNL kinachoongozwa na Agathon Rwassa.

Listen
Afrika Ya Mashariki
Kiwanda cha kutengeneza mkaa mbadala nchini Tanzania from 2021-11-30T16:23:27

Tunaangazia juu ya uhifadhi na utunzaji mazingira nchini Tanzania. Kwa namna ya pekee, RFI imetembelea kiwanda cha kutengeneza mkaa mbadala tofauti na uchomaji miti. Shirika lisilo la kiserika...

Listen
Afrika Ya Mashariki
Afrika Ya Mashariki - Kiwanda cha kutengeneza mkaa mbadala nchini Tanzania from 2021-11-30T16:23:27

Tunaangazia juu ya uhifadhi na utunzaji mazingira nchini Tanzania. Kwa namna ya pekee, RFI imetembelea kiwanda cha kutengeneza mkaa mbadala tofauti na uchomaji miti. Shirika lisilo la kiserika...

Listen
Afrika Ya Mashariki
Uhusiano wa raia wanaoishi mpakani mwa taifa la Burundi na Tanzania from 2021-11-24T17:26:35

 Kwenya makala haya mwandishi wetu, Juliani Rubavu, anaangazia  uhusiano baina ya raia wa Tanzania

wanaoishi kwenye mpaka wa Manyovu wilayani Buhigwe mkoani Kigoma, na

jirani...

Listen
Afrika Ya Mashariki
Afrika Ya Mashariki - Uhusiano wa raia wanaoishi mpakani mwa taifa la Burundi na Tanzania from 2021-11-24T17:26:35

 Kwenya makala haya mwandishi wetu, Juliani Rubavu, anaangazia  uhusiano baina ya raia wa Tanzania

wanaoishi kwenye mpaka wa Manyovu wilayani Buhigwe mkoani Kigoma, na

jirani...

Listen
Afrika Ya Mashariki
Umuhimu wa michezo kwa wanafunzi nchini Tanzania from 2021-10-27T08:34:46

Leo tunaangazia umuhimu  wa Michezo kwa Mwanafunzi kwa Afya ya mwili na akili. Kwenye kipindi hiki utawasikia baadhi ya wadau wakiwakilishaa makundi mbali mbali ya watoto, walezi, wazazi, na w...

Listen
Afrika Ya Mashariki
Afrika Ya Mashariki - Umuhimu wa michezo kwa wanafunzi nchini Tanzania from 2021-10-27T08:34:46

Leo tunaangazia umuhimu  wa Michezo kwa Mwanafunzi kwa Afya ya mwili na akili. Kwenye kipindi hiki utawasikia baadhi ya wadau wakiwakilishaa makundi mbali mbali ya watoto, walezi, wazazi, na w...

Listen
Afrika Ya Mashariki
Uhuru wa kujieleza kupitia mitandao ya kijamii nchini Tanzania from 2021-10-13T08:40:17

Leo tunaangazia kuhusu uhuru wa kujieleza na kutoa maoni pamoja na athari za sheria ya mitandao nchini Tanzania. Kwa miaka ya hivi karibuni nchini Tanzania kumekuwepo na minong’ono ya hapa na ...

Listen
Afrika Ya Mashariki
Afrika Ya Mashariki - Uhuru wa kujieleza kupitia mitandao ya kijamii nchini Tanzania from 2021-10-13T08:40:17

Leo tunaangazia kuhusu uhuru wa kujieleza na kutoa maoni pamoja na athari za sheria ya mitandao nchini Tanzania. Kwa miaka ya hivi karibuni nchini Tanzania kumekuwepo na minong’ono ya hapa na ...

Listen
Afrika Ya Mashariki
Changamoto za walemavu nchini Tanzania from 2021-10-05T18:07:19

Tunaangazia juu ya changamoto za ujasiriamali kwenye vikundi vya walemavu nchini Tanzania. Kwa namna ya pekee tutawasikia baadhi ya walemavu na wadau wengine wanaohusika kuhakikisha mlemavu an...

Listen
Afrika Ya Mashariki
Afrika Ya Mashariki - Changamoto za walemavu nchini Tanzania from 2021-10-05T18:07:19

Tunaangazia juu ya changamoto za ujasiriamali kwenye vikundi vya walemavu nchini Tanzania. Kwa namna ya pekee tutawasikia baadhi ya walemavu na wadau wengine wanaohusika kuhakikisha mlemavu an...

Listen
Afrika Ya Mashariki
Fursa za vijana kujiajiri katika nchi za Afrika Mashariki from 2021-09-29T08:32:20

Juhudi za vijana wa ukanda wa Afrika ya Mashariki na kati ambapo licha ya changamoto za hapa na pale kiuchumi na kijamii, lakini kwa namna ya pekee baadhi ya vijana wa ukanda huu wanajibidisha...

Listen
Afrika Ya Mashariki
Afrika Ya Mashariki - Fursa za vijana kujiajiri katika nchi za Afrika Mashariki from 2021-09-29T08:32:20

Juhudi za vijana wa ukanda wa Afrika ya Mashariki na kati ambapo licha ya changamoto za hapa na pale kiuchumi na kijamii, lakini kwa namna ya pekee baadhi ya vijana wa ukanda huu wanajibidisha...

Listen
Afrika Ya Mashariki
Uhusiano kati ya Rwanda na Burundi from 2021-08-31T12:19:03

Leo tunaangazia juu ya Uhusiano baina ya Burundi na Rwanda. Kwa zaidi ya miaka mitano sasa hali ya uhusiano baina ya nchi hizo mbili umezorota. Baadhi ya sababu zilizotajwa na kila upande, Rwa...

Listen
Afrika Ya Mashariki
Afrika Ya Mashariki - Uhusiano kati ya Rwanda na Burundi from 2021-08-31T12:19:03

Leo tunaangazia juu ya Uhusiano baina ya Burundi na Rwanda. Kwa zaidi ya miaka mitano sasa hali ya uhusiano baina ya nchi hizo mbili umezorota. Baadhi ya sababu zilizotajwa na kila upande, Rwa...

Listen
Afrika Ya Mashariki
Hatua ya serikali ya Burundi kuwaadhibu maafisa wake from 2021-08-25T08:41:29

Leo tunaangazia juu ya hatua ya serikali ya Burundi kusimamisha baadhi ya viongozi na maafisa waandamizi wa serikali iliyoko madarakani wengi wao wakiwa watumishi wa ikulu.  Serikali ya Burund...

Listen
Afrika Ya Mashariki
Afrika Ya Mashariki - Hatua ya serikali ya Burundi kuwaadhibu maafisa wake from 2021-08-25T08:41:29

Leo tunaangazia juu ya hatua ya serikali ya Burundi kusimamisha baadhi ya viongozi na maafisa waandamizi wa serikali iliyoko madarakani wengi wao wakiwa watumishi wa ikulu.  Serikali ya Burund...

Listen
Afrika Ya Mashariki
Unywaji wa pombe haramu nchini Kenya na Tanzania from 2021-08-17T18:29:27

Leo tunaangazia juu ya Kinywaji haramu cha ‘Gongo’ nchiniTanzania na ‘Chang’aa’ nchini Kenya.  Baadhi ya wanywaji wa pande zote walioongea na RFI wanaomba serikali za nchi zao kuhalalisha kiny...

Listen
Afrika Ya Mashariki
Afrika Ya Mashariki - Unywaji wa pombe haramu nchini Kenya na Tanzania from 2021-08-17T18:29:27

Leo tunaangazia juu ya Kinywaji haramu cha ‘Gongo’ nchiniTanzania na ‘Chang’aa’ nchini Kenya.  Baadhi ya wanywaji wa pande zote walioongea na RFI wanaomba serikali za nchi zao kuhalalisha kiny...

Listen
Afrika Ya Mashariki
Maadili ya viongozi wa umma nchini Tanzania from 2021-08-10T17:20:08

Leo tunaangazia juu ya Maadili ya Viongozi wa Umma nchini Tanzania. Tutakuwa na baadhi ya wachambuzi ambao ni Ndugu Mjungu akiwa Karagwe mkoani Kagera, pamoja na Dokta. Peter Bujari mchambuzi ...

Listen
Afrika Ya Mashariki
Afrika Ya Mashariki - Maadili ya viongozi wa umma nchini Tanzania from 2021-08-10T17:20:08

Leo tunaangazia juu ya Maadili ya Viongozi wa Umma nchini Tanzania. Tutakuwa na baadhi ya wachambuzi ambao ni Ndugu Mjungu akiwa Karagwe mkoani Kagera, pamoja na Dokta. Peter Bujari mchambuzi ...

Listen
Afrika Ya Mashariki
Burundi kupitia upya mikataba ya madini from 2021-08-03T18:22:30

Tunaangazia juu ya hatua ya Serikali ya Burundi kupitia upya mikataba ya madini lengo ikiwa ni madini ya nchi hiyo kunufaisha pande zote yaani Burundi na muwekezaji. KWa mjibu wa serikali ya B...

Listen
Afrika Ya Mashariki
Afrika Ya Mashariki - Burundi kupitia upya mikataba ya madini from 2021-08-03T18:22:30

Tunaangazia juu ya hatua ya Serikali ya Burundi kupitia upya mikataba ya madini lengo ikiwa ni madini ya nchi hiyo kunufaisha pande zote yaani Burundi na muwekezaji. KWa mjibu wa serikali ya B...

Listen
Afrika Ya Mashariki
Utamaduni wa kuandika na kusoma vitabu nchini Tanzania from 2021-07-27T08:55:21

Leo tunaangazia juu ya utamaduni wa kuandika na kusoma vitabu nchini Tanzania. RFI imefika jijini Dar es Salaam kukutana na waandishi wa vitabu Bw. Yerick Nyerere pamoja na Dr. Cyrilo Christop...

Listen
Afrika Ya Mashariki
Afrika Ya Mashariki - Utamaduni wa kuandika na kusoma vitabu nchini Tanzania from 2021-07-27T08:55:21

Leo tunaangazia juu ya utamaduni wa kuandika na kusoma vitabu nchini Tanzania. RFI imefika jijini Dar es Salaam kukutana na waandishi wa vitabu Bw. Yerick Nyerere pamoja na Dr. Cyrilo Christop...

Listen
Afrika Ya Mashariki
Changamoto za ajira kwa vijana wa nchi za Afrika Mashariki from 2021-07-24T12:40:55

Leo tunaangazia juu ya changamoto ya ajira kwa Vijana wa nchi za Afrika ya Mashariki, na leo tunaungana na baadhi ya vijana wa Kenya na Tanzania. Baadhi ya vijana hao wanabainisha kuwa juhudi ...

Listen
Afrika Ya Mashariki
Afrika Ya Mashariki - Changamoto za ajira kwa vijana wa nchi za Afrika Mashariki from 2021-07-24T12:40:55

Leo tunaangazia juu ya changamoto ya ajira kwa Vijana wa nchi za Afrika ya Mashariki, na leo tunaungana na baadhi ya vijana wa Kenya na Tanzania. Baadhi ya vijana hao wanabainisha kuwa juhudi ...

Listen
Afrika Ya Mashariki
Watalaam Afrika Mashariki watafuta fursa nje ya nchi zao from 2021-07-15T10:57:48

Leo tunaangazia juu ya changamoto ya Vijana na wataalamu wa nchi za Afrika ya Mashariki wanaofikiria kupata fursa zaidi za ajira na kipato nje ya nchi zao na bara la Afrika. 

Listen
Afrika Ya Mashariki
Afrika Ya Mashariki - Watalaam Afrika Mashariki watafuta fursa nje ya nchi zao from 2021-07-15T10:57:48

Leo tunaangazia juu ya changamoto ya Vijana na wataalamu wa nchi za Afrika ya Mashariki wanaofikiria kupata fursa zaidi za ajira na kipato nje ya nchi zao na bara la Afrika. 

Listen
Afrika Ya Mashariki
Historia ya mkoa wa Kigoma nchini Tanzania from 2021-07-06T10:56:10

Tunaangazia juu ya Mkoa wa Kigoma, nchini Tanzania. Mkoa wa Kigoma uko magharibi mwa Tanzania,  kwenye mwambao wa ziwa Tanganyika, ambapo Tanzania inapakana nan chi za Burundi, Jamhuri yakidem...

Listen
Afrika Ya Mashariki
Afrika Ya Mashariki - Historia ya mkoa wa Kigoma nchini Tanzania from 2021-07-06T10:56:10

Tunaangazia juu ya Mkoa wa Kigoma, nchini Tanzania. Mkoa wa Kigoma uko magharibi mwa Tanzania,  kwenye mwambao wa ziwa Tanganyika, ambapo Tanzania inapakana nan chi za Burundi, Jamhuri yakidem...

Listen
Afrika Ya Mashariki
Afrika Ya Mashariki - Ukuzaji wa vipaji miongoni mwa vijana nchini Tanzania from 2021-06-30T11:48:42

Tunaangazia juu ya vipaji kwa vijana nchini Tanzania. RFI imefika tarafani Rulenge, Wilayani Ngara, mkoani Kagera magharibi mwa Tanzania na kuongea na baadhi tu ya vijana walioamua kuunda kuki...

Listen
Afrika Ya Mashariki
Ukuzaji wa vipaji miongoni mwa vijana nchini Tanzania from 2021-06-30T11:48:42

Tunaangazia juu ya vipaji kwa vijana nchini Tanzania. RFI imefika tarafani Rulenge, Wilayani Ngara, mkoani Kagera magharibi mwa Tanzania na kuongea na baadhi tu ya vijana walioamua kuunda kuki...

Listen
Afrika Ya Mashariki
Changamoto za wanafunzi nchini Tanzania from 2021-06-24T09:31:52

Sekta ya elimu nchini Tanzania, inashuhudia changamoto hasa wilayani Ngara, mkoani

Kagera magharibi, ikibainika kwamba walimu wanawalazimisha wanafunzi wachote maji na kuchanja kuni Listen

Afrika Ya Mashariki
Afrika Ya Mashariki - Changamoto za wanafunzi nchini Tanzania from 2021-06-24T09:31:52

Sekta ya elimu nchini Tanzania, inashuhudia changamoto hasa wilayani Ngara, mkoani

Kagera magharibi, ikibainika kwamba walimu wanawalazimisha wanafunzi wachote maji na kuchanja kuni Listen

Afrika Ya Mashariki
Afrika Ya Mashariki - Utunzaji wa mazingira nchini Tanzania from 2021-06-08T17:27:34

Leo tunaangazia  changamoto za utunzaji mazingira nchini Tanzania, tukijikita huko mkoani Kigoma magharibi mwa nchi hiyo. Kama baadhi ya wadau wa mazingira walioko wilayani Kibondo watakavyoba...

Listen
Afrika Ya Mashariki
Utunzaji wa mazingira nchini Tanzania from 2021-06-08T17:27:34

Leo tunaangazia  changamoto za utunzaji mazingira nchini Tanzania, tukijikita huko mkoani Kigoma magharibi mwa nchi hiyo. Kama baadhi ya wadau wa mazingira walioko wilayani Kibondo watakavyoba...

Listen
Afrika Ya Mashariki
Afrika Ya Mashariki - Mchakato wa kuunda mkoa mpya wa Chato nchini Tanzania from 2021-06-03T08:50:03

Leo tunaangazia juu ya mapendekezo ya kamati ya ushauri ya mkoa wa Geita, kuunda mkoa mpya wa Chato, nchini Tanzania. Geita imependekeza mkoa mpya wa Chato uundwe na baadhi ya wilaya za mikoa ...

Listen
Afrika Ya Mashariki
Mchakato wa kuunda mkoa mpya wa Chato nchini Tanzania from 2021-06-03T08:50:03

Leo tunaangazia juu ya mapendekezo ya kamati ya ushauri ya mkoa wa Geita, kuunda mkoa mpya wa Chato, nchini Tanzania. Geita imependekeza mkoa mpya wa Chato uundwe na baadhi ya wilaya za mikoa ...

Listen
Afrika Ya Mashariki
Afrika Ya Mashariki - Mahusiano kati ya Watanzania na wakimbizi kutoka Burundi na DRC from 2021-05-19T12:21:13

Leo tunaangazia juu ya mahusiano baina ya Jamii ya Watanzania na wakimbizi wa kutokea nchi za Kongo na Burundi walioko kwenye kambi ya Nyarugusu iliyoko kwenye tarafa ya Makele, wilayani Kasul...

Listen
Afrika Ya Mashariki
Mahusiano kati ya Watanzania na wakimbizi kutoka Burundi na DRC from 2021-05-19T12:21:13

Leo tunaangazia juu ya mahusiano baina ya Jamii ya Watanzania na wakimbizi wa kutokea nchi za Kongo na Burundi walioko kwenye kambi ya Nyarugusu iliyoko kwenye tarafa ya Makele, wilayani Kasul...

Listen
Afrika Ya Mashariki
Afrika Ya Mashariki - Kupanda kwa bei ya mafuta ya kula nchini Tanzania from 2021-05-14T08:22:11

Leo tunaangazia juu ya uhaba na bei ghali kwa mafuta ya kula nchini Tanzania. Kwa mjibu wa serikali ya Tanzania kupitia wizara ya viwanda na biashara, viwanda vya Tanzania vinazalisha kiwango ...

Listen
Afrika Ya Mashariki
Kupanda kwa bei ya mafuta ya kula nchini Tanzania from 2021-05-14T08:22:11

Leo tunaangazia juu ya uhaba na bei ghali kwa mafuta ya kula nchini Tanzania. Kwa mjibu wa serikali ya Tanzania kupitia wizara ya viwanda na biashara, viwanda vya Tanzania vinazalisha kiwango ...

Listen
Afrika Ya Mashariki
Afrika Ya Mashariki - Kupanda kwa mafuta ya kula nchini Tanzania from 2021-05-14T08:22:11

Leo tunaangazia juu ya uhaba na bei ghali kwa mafuta ya kula nchini Tanzania. Kwa mjibu wa serikali ya Tanzania kupitia wizara ya viwanda na biashara, viwanda vya Tanzania vinazalisha kiwango ...

Listen
Afrika Ya Mashariki
Mpango wa serikali ya Tanzania kuwasaidia masikini from 2021-05-07T18:41:03

Tunaangazia juu ya mfuko wa kusaidia watu wasiojiweza kiuchumi nchini ujulukanao kama TASAF nchini Tanzania. Kumekuwepo na manung’uniko ya hapa na pale kuhusu wanufaikaji ambapo baadhi ya mala...

Listen
Afrika Ya Mashariki
Afrika Ya Mashariki - Mpango wa serikali ya Tanzania kuwasaidia masikini from 2021-05-07T18:41:03

Tunaangazia juu ya mfuko wa kusaidia watu wasiojiweza kiuchumi nchini ujulukanao kama TASAF nchini Tanzania. Kumekuwepo na manung’uniko ya hapa na pale kuhusu wanufaikaji ambapo baadhi ya mala...

Listen
Afrika Ya Mashariki
Afrika Ya Mashariki - Uzalishaji wa chai nchini Tanzania from 2021-04-27T17:30:08

Wakulima wa zao la chai katika mkowa wa Kagera, nchini Tanzania, wameshindwa kuzalisha zao hilo kutoka na changamoto nyingi, ikiwemo kukosa kupata pembejeo za zao hilo. Wengi wakiachana na uku...

Listen
Afrika Ya Mashariki
Afrika Ya Mashariki - Hatima ya wakimbizi wa Burundi nchini Tanzania from 2021-04-21T17:56:40

Leo tunaangazia juu ya nia ya serikali ya Tanzania kuhamasisha wakimbizi wa Burundi kurejea kwao kwa hiari baada ya kuingia nchini humo mwaka 2015 kufuatia mzozo wa kisiasa.

Listen
Afrika Ya Mashariki
Afrika Ya Mashariki - Mila, utamaduni wa watu visiwani Zanzibar from 2021-04-14T08:29:14

Wiki hii  tunaangazia kuhusu  utamaduni, mila na desturi kwa wenyeji wa Visiwa vya Zanzibar. Ungana nasi upate mengi zaidi.

Listen
Afrika Ya Mashariki
Afrika Ya Mashariki - Mchezo wa gonga kwenye fukwe za visiwani Zanzibar from 2021-04-07T08:03:08

Leo tunaangazia juu ya Mchezo wa Mpira wa Gonga huko Unguja, Zanzibar. Kwa mjibu wa wenyeji niliokuta wakicheza mpira wa Gonga pale Kizingo Beach, Unguja, wameeleza kuwa mpira wa Gonga una asi...

Listen
Afrika Ya Mashariki
Afrika Ya Mashariki - Mchezo wa soka unaochezwa ufukweni nchini Burundi from 2021-03-30T17:53:57

Leo tunaangazia mchezo wa mpira wa ufukweni huko nchini Burundi. Mchezo huu sio  maarufu sana kwa baadhi ya watu ukilinganisha na mpira wa miguu au mpira wa kikapu. Huko Burundi mpira wa ufukw...

Listen
Afrika Ya Mashariki
Afrika Ya Mashariki - Changamoto za usafiri wa majini kwenye Ziwa Victoria nchini Tanzania from 2021-03-24T06:21:24

Leo tunaangazia changomoto za usafiri wa majini katika Ziwa Victoria nchini Tanzania. Utawasikia abiria wakizungumizia hili.

Listen
Afrika Ya Mashariki
Afrika Ya Mashariki - Namna vijana nchini Tanzania wanavyojipatia kipato kupitia ujasiriliamali from 2021-03-16T17:08:27

Leo tunaangazia juu ya fursa na ajira kwa vijana nchini Tanzania. Utawasikia vijana wa huko wilayani Rorya mkoani Mara kaskazini-magharibi mwa Tanzania jirani kabisa na mpaka wa Kenya. Kama ut...

Listen
Afrika Ya Mashariki
Afrika Ya Mashariki - Uhaba wa dagaa katika Ziwa Tanganyika from 2021-03-10T16:35:58

Julian Rubavu  anaangazia juu ya uhaba wa dagaa wapatikana katika ziwaTanganyika hukoKigoma, Tanzania.

Wenyeji wanasema kuwa dagaa wa Kigomani watamu saana, lakini pia gharama za kuwa...

Listen
Afrika Ya Mashariki
Afrika Ya Mashariki - Tamaduni za raia wa mwambao wa ziwa Tanganyika. from 2021-03-03T06:55:30

Katika makala haya  mwanahabari Juliani Rubavu amezuru mwambao wa ziwa Tanyingika, katika kijiji na Ujiji, na kutangamana na wenyeji ambapo ameangazia kwa kina shughuli zao za kila siku.

Listen
Afrika Ya Mashariki
Afrika Ya Mashariki - Watalaamu kutoka mataifa ya Afrika Mashariki wahimizwa kusalia katika nchi zao from 2021-02-26T14:02

Katika makala ya juma hili ya Afrika Mashariki, mawanahabari wetu Juliani Rubavu anaangazia hutua ya mataifa ya Afrika mashariki kuwashauri wataalamu wao kutoondoka katika mataifa hayo kutafut...

Listen
Afrika Ya Mashariki
Afrika Ya Mashariki - Kuzinduliwa rasmi kwa Elimu ya Juu katika nchi wanachama za Jumuiya ya Afrika Mashariki from 2017-05-25T10:33:14

Leo tunaangazia  makubaliano ya viongozi wa Jumuiya ya Afrika  Mashariki waliokutana hivi karibuni jijini Dar es salaam nchini Tanzania na kuidhinisha rasmi Elimu ya juu ya  pamoja ndani ya nc...

Listen
Afrika Ya Mashariki
Afrika Ya Mashariki - Vitendo viovu vya ulaji nyama ya binadamu nchini Uganda from 2017-01-11T10:59:47

Makala ya kwanza kabisa mwaka huu wa 2017 tunaanzia nchini Ugandaambapo tutaangazia  vitendo viovu vya ulaji nyama ya binadamu.

Kusini mwa Uganda kwenye wilaya za Rakai, Kyotera na ny...

Listen
Afrika Ya Mashariki
Afrika Ya Mashariki - Hofu kwenye familia zenye walemavu wa ngozi from 2015-03-31T17:02:23

Makala haya ya Afrika ya Mashariki inaangazia juu ya hofu kwa familia zenye watu wenye ulemavu wa ngozi na jamii inayowazunguka  magharibi mwa Tanzania.

Listen
Afrika Ya Mashariki
Afrika Ya Mashariki - Changamoto za kiuchumi na maendeleo kwenye ukanda wa afrika ya mashariki from 2015-03-24T17:06:58

Makala haya ya Afrika ya Mashariki inaangazia juu ya changamoto za kiuchumi na maendeleo kwenye ukanda wa afrika ya mashariki. Katika makala haya watasikika baadhi ya raia wa Tanzania waishio ...

Listen
Afrika Ya Mashariki
Afrika Ya Mashariki - Malbino walengwa Tanzania from 2015-03-12T14:09:26

Makala haya ya Afrika ya Mashariki yanaangazia juu ya changamoto za mauaji ya walemavu wa ngozi (Albino), ambayo yamekithiri katika kanda ya ziwa Magharibi mwa Tanzania.

Listen
Afrika Ya Mashariki
Afrika Ya Mashariki - Umuhimu wa elimu kwa waumini wa dini ya kiislam from 2015-02-27T21:51:20

Makala hii ya Afrika ya Mashariki inaangazia juu ya umuhimu wa elimu kwa waumini wa dini ya kiislamu katika ukanda wa Afrika ya mashariki.

Listen
Afrika Ya Mashariki
Afrika Ya Mashariki - Maendeleo ya kijamii katika kijiji cha Kogelo (sehemu ya pili) from 2015-02-17T19:00:38

Makala hii ya Afrika ya Mashariki inaangazia sehemu ya pili kuhusu maendeleo ya kijamii katika kijiji cha  Kogelo, kaunti ya Siaya magharibi mwa Kenya, alipozaliwa baba yake Barack Obama
<...

Listen
Afrika Ya Mashariki
Afrika Ya Mashariki - Maendeleo ya kijamii kijijini Kogelo from 2015-02-11T18:20:05

Katika makala ya Afrika ya Mashariki, tunaangazia juu ya maendeleo ya kijamii katika kijiji cha Kogelo, Kaunti ya Siaya, magharibi mwa Kenya, alipozaliwa baba yake rais wa Marekani

B...

Listen
Afrika Ya Mashariki
Afrika Ya Mashariki - Shule zaitwa “Yeboyebo” Tanzania from 2015-01-27T18:21:58

Makala ya Afrika Mashariki inaangazia juu ya changamoto kwenye sekta ya elimu nchini Tanzania, ambapo baadhi ya shule nyingi za serikali ngazi ya kata zimegeuzwa na kuitwa  “ Yeboyebo”, na kwa...

Listen
Afrika Ya Mashariki
Afrika Ya Mashariki - Changamoto za kiusalama na elimu kwa maalbino from 2014-10-27T18:03:04

Makala ya Afrika ya Mashariki inaangazia juu ya changamoto za kiusalaama na elimu kwa walemavu wa ngozi (albino) waishio mikoa ya kanda ya ziwa magharibi mwa Tanzania.

Listen
Afrika Ya Mashariki
Afrika Ya Mashariki - Miaka 15 tangu kuaga dunia kwa Baba wa Taifa la Tanzania Mwalimu Julius Nyerere from 2014-10-15T10:41:09

Juma hili, Tanzania imeadhimisha miaka 15 tangu kuaga dunia kwa Mwanzilishi wa taifa lao Mwalimu Julius Kambarage Nyerere mwaka 1999.

Ni kiongozi ambaye anakumbukwa ndani ya nje ya Ta...

Listen
Afrika Ya Mashariki
Afrika Ya Mashariki - Kifo cha baba wa taifa la Tanzania from 2014-10-07T18:58:44

Makala haya ya Afrika ya Mashariki ambayo ni sehemu ya kwanza inaangazia kumbukumbu ya miaka 15 ya kifo cha mtetezi wa uhuru wa tanzania Julius Kambarage Nyerere.

Listen
Afrika Ya Mashariki
Afrika Ya Mashariki - mkutano wa viongozi wa madhehebu ya kiislamu toka afrika ya mashariki na kati mjini Bujumbura from 2014-09-05T17:36:19

Makala haya ya Afrika ya Mashariki inaangazia juu ya mkutano wa viongozi wa madhehebu ya kiislamu toka afrika ya mashariki na kati waliokutana mjini Bujumbura nchini Burundi juma lililopita ku...

Listen
Afrika Ya Mashariki
Afrika Ya Mashariki - sherehe za nane-nane nchini Tanzania from 2014-09-05T17:18:40

Makala haya ya Afrika ya Mashariki inaangazia juu ya sherehe za nane-nane zilizoadhimishwa juma lililopita nchini Tanzania. Shere hizo zimemlenga zaidi mwananchi mkulima wa Tanzania. Karibu uu...

Listen
Afrika Ya Mashariki
Afrika Ya Mashariki - changamoto za matumizi ya vitambulisho vya utaifa from 2014-09-05T16:51:53

Makala ya Afrika ya mashariki huu ni inaangazia juu ya changamoto za matumizi ya vitambulisho vya utaifa na changamoto maeneo ya mipakani  kwa mataifa ya Kenya, Rwanda na Uganda ikiwa ni uteke...

Listen
Afrika Ya Mashariki
Afrika Ya Mashariki - Hati za kusafiria kwa raia wa Afrika ya mashariki from 2014-09-05T15:45:01

Makala haya ya Afrika ya Mashariki inaangaziajuu ya hati za kusafiria kwa raia wa afrika ya mashariki. Nchi za Kenya, Rwanda na Uganda zimekubaliana kutumia vitambulisho vya uraia kutoka nchi ...

Listen
Afrika Ya Mashariki
Afrika Ya Mashariki - Kurejea bungeni kwa wabunge wa bunge maalum la katiba from 2014-08-08T14:20:59

Makala ya Afrika ya Mashariki inaangazia juu yauapatikanaji katiba mpya nchini Tanzania. Hii ni kuwa wakati huu ndiomuda wa Bunge maalumu la Katiba kurejea Bungeni na kujadili kwa upyarasmu ya...

Listen
Afrika Ya Mashariki
Afrika Ya Mashariki - Sehemu ya pili ya makala maalumu juu ya mashujaa wa Tanzania from 2014-07-25T14:49:32

Hii ni  sehemu ya pili ya makala maalumu juu ya mashujaa wa Tanzania.Juma lililopita uliwasikia baadhi ya mashujaa wa Tanzania waliopiganakwenye vita kuu ya pili ya dunia. Leo tutamsikia amiri...

Listen
Afrika Ya Mashariki
Afrika Ya Mashariki - Ujirani mwema kati ya Burundi na Tanzania from 2014-07-09T18:05:56

Tunaendelea na sehemu ya pili juu ya juhudi za raia wa Burundi naTanzania kuimarisha uhusiano mwema kupitia mpango wa ujirani mwemamaeneo ya mpakani ambapo si tu viongozi wa serikali, lakini h...

Listen
Afrika Ya Mashariki
Afrika Ya Mashariki - Maonesho ya kitaifa-Sabasaba- Tanzania from 2014-07-09T17:57:57

Kwenye makala ya afrika ya mashariki leo tunaangazia juu ya maoneshoya kimataifa ya sabasaba yaliyoanza juni 25 na kuhitimishwa Julai 07,2014 mjini Bukoba Tanzania.

Listen
Afrika Ya Mashariki
Afrika Ya Mashariki - Mjadala wa katiba mpya nchini Tanzania from 2014-05-28T17:36:37

Kwenye makala ya Afrika ya Mashariki leo tunaangazia juu ya mjadala wakatiba mpya nchini Tanzania. Utawasikia viongozi wa vyama vya siasana serikali wakizungumzia juu ya mvutano unaoendelea nc...

Listen
Afrika Ya Mashariki
Afrika Ya Mashariki - Maendeleo endelevu katika Jumuiya ya Afrika Mashariki from 2014-05-26T10:37:10

Kwenye makala ya afrika ya mashariki leo tunaangazia juu ya changamotoza Utawala bora  na  haki za binadamu  kwenye Jumuiya ya Afrika Mashariki. Bunge la Afrika Mashariki limedhamiria kuhakiki...

Listen