Afrika Ya Mashariki - Fursa za vijana kujiajiri katika nchi za Afrika Mashariki - a podcast by RFI

from 2021-09-29T08:32:20

:: ::


Juhudi za vijana wa ukanda wa Afrika ya Mashariki na kati ambapo licha ya changamoto za hapa na pale kiuchumi na kijamii, lakini kwa namna ya pekee baadhi ya vijana wa ukanda huu wanajibidisha  kuhakikisha wanajiajiri au kuajiriwa huku wakitaja nidhamu na uaminifu kwenye jamii inayowazunguka ndio siri ya mafanikio yao. 

Further episodes of Afrika Ya Mashariki

Further podcasts by RFI

Website of RFI