Afrika Ya Mashariki - Kupanda kwa bei ya mafuta ya kula nchini Tanzania - a podcast by RFI

from 2021-05-14T08:22:11

:: ::


Leo tunaangazia juu ya uhaba na bei ghali kwa mafuta ya kula nchini Tanzania. Kwa mjibu wa serikali ya Tanzania kupitia wizara ya viwanda na biashara, viwanda vya Tanzania vinazalisha kiwango kidogo cha mafuta ya kula, hali inayopelekea wafanyabiashara kuagiza mafuta nje ya nchi.

Further episodes of Afrika Ya Mashariki

Further podcasts by RFI

Website of RFI