Afrika Ya Mashariki - Sehemu ya pili ya makala maalumu juu ya mashujaa wa Tanzania - a podcast by RFI

from 2014-07-25T14:49:32

:: ::


Hii ni  sehemu ya pili ya makala maalumu juu ya mashujaa wa Tanzania.Juma lililopita uliwasikia baadhi ya mashujaa wa Tanzania waliopiganakwenye vita kuu ya pili ya dunia. Leo tutamsikia amiri jeshi mkuu akieleza maana ya siku ya mashujaa na gharama za kulinda taifa.

Further episodes of Afrika Ya Mashariki

Further podcasts by RFI

Website of RFI