Afrika Ya Mashariki - Utamaduni wa kuandika na kusoma vitabu nchini Tanzania - a podcast by RFI

from 2021-07-27T08:55:21

:: ::


Leo tunaangazia juu ya utamaduni wa kuandika na kusoma vitabu nchini Tanzania. RFI imefika jijini Dar es Salaam kukutana na waandishi wa vitabu Bw. Yerick Nyerere pamoja na Dr. Cyrilo Christopher ambao wamejitahidi saana kuandika vitabu na kuhamasisha usomaji vitabu nchini Tanzania.  

Further episodes of Afrika Ya Mashariki

Further podcasts by RFI

Website of RFI