Afrika Ya Mashariki - Vitendo viovu vya ulaji nyama ya binadamu nchini Uganda - a podcast by RFI

from 2017-01-11T10:59:47

:: ::


Makala ya kwanza kabisa mwaka huu wa 2017 tunaanzia nchini Ugandaambapo tutaangazia  vitendo viovu vya ulaji nyama ya binadamu.

Kusini mwa Uganda kwenye wilaya za Rakai, Kyotera na nyinginezo watuwanakamatwa, wanachinjwa na kuliwa nyama na binadamu wenzao.

Further episodes of Afrika Ya Mashariki

Further podcasts by RFI

Website of RFI