Changamoto za waendesha vyombo vya moto nchini Tanzania - a podcast by RFI

from 2021-12-14T17:40:09

:: ::


Leo tunaangazia juu ya  changamoto zinazowakumba waendesha vyombo vya moto nchini Tanzania. Kwa namna ya pekee tutajikita kuongea na wadau wa magari na pikipiki huko mkoani Kagera nchini Tanzania akiangazia kuwa baadhi ya changamoto ni pamoja na ukosefu wa mafunzo ya sheria zabarabarani. Waendesha vyombo vya motona baadhi ya abiria wanaeleza uhitaji mkubwa wa elimu juu ya alama za barabarani

Further episodes of Afrika Ya Mashariki

Further podcasts by RFI

Website of RFI