Mkusanyiko wa baadhi ya matukio ya mwaka 2021 - a podcast by RFI

from 2021-12-28T17:24:06

:: ::


Tunaangazia sehemu tu ya baadhi ya makala zilizoletwa kwako mwaka huu wa 2021. Baadhi yake ni pamoja na uhusiano baina ya jamii ya wakimbizi na wenyeji Tanzania, Uhusiano baina ya wenyeji na raia wa Burundi na Tanzania, wasomi wa Afrika ya Mashariki kusaka ajira nje ya nchi zao, pamoja na Rushwa nchini Burundi.

Further episodes of Afrika Ya Mashariki

Further podcasts by RFI

Website of RFI