Changu Chako, Chako Changu - Historia ya Utawala wa rais wa zamani wa Burundi Pierre Buyaya sehemu ya kwanza - a podcast by RFI

from 2021-01-30T13:41:20

:: ::


Makala haya ya leo Changu Chako Chako Changu mtangazaji wako Ali Bilali anakuletea Historia ya Utawala wa rais wa zamani Pierre Buyoya ambae amefariki dunia juma hili huko Paris ambako alikuwa amesafirishwa kwa ajili ya matibabu.

Further episodes of Changu Chako, Chako Changu

Further podcasts by RFI

Website of RFI