Podcasts by Changu Chako, Chako Changu

Changu Chako, Chako Changu

Changu Chako, Chako Changu ni makala inayozungumzia masuala ya historia, utamaduni, muziki na lugha ya Kifaransa Afrika Mashariki na Kati na duniani. Makala haya yatakuhabarisha pia kuhusu Jumuiya ya Kimataifa ya Watu Wanaotumia lugha ya Kifaransa kwenye Mawasiliano (L'OIF) na jinsi gani kujifunza na kuelewa lugha nyingine inaweza kuimarisha mahusiano kwenye sehemu zote za maisha ya binadamu.

Further podcasts by RFI

Podcast on the topic Gesellschaft und Kultur

All episodes

Changu Chako, Chako Changu
Kurejea kwa tamasha la Amani Festival Amani huko Goma from 2022-02-09T10:09:13

Makala haya tunazungumzia kuhusu kurejea kwa tamasha la Amani ama Festival Amani. Na kwenye kipengele cha Utamaduni tunazungumzia kuhusu Utamaduni wa kuandika wosia na ni muda gani sahihi?

Listen
Changu Chako, Chako Changu
Fahamu historia ya jiji la Kigali nchini Rwanda from 2022-02-01T17:52:30

Mkala haya yanaangazia historia ya jiji la Kigali nchini Rwanda

Listen
Changu Chako, Chako Changu
Tamasha la filamu la nchini Rwanda mwaka 2021 from 2022-02-01T13:36:26

Makala haya yaangazia kuhusu tamasha la filamu lililofanyika nchini Rwanda.

Listen
Changu Chako, Chako Changu
Tamasha la 40 la utamaduni la Bagamoyo nchini Tanzania from 2022-02-01T13:26:11

Makala haya yanaangazia kuhusu Tamasha la 40 la utamaduni lililofanyika huko Bagamoyo nchini Tanzania. Usikosi pia kutufollow kwa instagram kwa kuandika @billy_bilali

Listen
Changu Chako, Chako Changu
Siku ya Kiswahili Duniani baada ya kuidhinishwa na Umoja wa Mataifa from 2022-02-01T13:16:09

Makala haya hii leo tunaangazia kuhusu hatuwa ya UM kukipa nafasi Kiswahili kwenye Umoja huo na kuiteuwa Julay 7 ya kila mwaka kuwa siku ya Kiswahili duniani, na utapata kumskiliza mwanamuziki...

Listen
Changu Chako, Chako Changu
Historia ya askofu Desmond Tutu nchini Afrika kusini from 2022-02-01T13:10:02

Makala haya yanaagazia Historiaya askafu wa kanisa Anglicana nchini Afrika Kusini aliewahi kupewa tuzo ya Amani ya Nobel, na namna waskilizaji wa RFI Kiswahili walivyoupokea mwaka mpya, pamoja...

Listen
Changu Chako, Chako Changu
Historia ya kombe la Mataifa ya Afrika CAN from 2022-02-01T13:03:29

Katika makala haya Jumapili hii mtangazaji wako Ali Bilali anakueltea Historia ya kombe la Mataifa ya Afrika CAN ambayo msimu huu yanafanyika nchini Cameroon

Listen
Changu Chako, Chako Changu
Tamasha la kitamaduni la kilimanjaro Mkoani Moshi lilivyoandaliwa na kufana from 2022-02-01T12:01:53

Makala haya yanazungumzia kuhusu Tamasha la kitamaduni lililoshirikisha Makabila kadhaa huko Kilimanjaro Mkoani Moshi. rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ndie aliekuwa mgeni rasmi. Lakini pi...

Listen
Changu Chako, Chako Changu
Historia ya binadamu katika Kaunti ya Turkana nchini Kenya from 2021-11-30T07:31:29

Kuhusu historia na utamaduni, tunaangazia utafiti  wa shughuli, asili,  na tamaduni ya binadamu zaidi ya miaka Milioni tatu iliyopita, katika êneo la Turkana, nchini Kenya uliofanywa na Profes...

Listen
Changu Chako, Chako Changu
Changu Chako, Chako Changu - Historia ya binadamu katika Kaunti ya Turkana nchini Kenya from 2021-11-30T07:31:29

Kuhusu historia na utamaduni, tunaangazia utafiti  wa shughuli, asili,  na tamaduni ya binadamu zaidi ya miaka Milioni tatu iliyopita, katika êneo la Turkana, nchini Kenya uliofanywa na Profes...

Listen
Changu Chako, Chako Changu
Sehemu ya pili ya makala kuhusu Historia ya ngome Yesu Fort Jesus from 2021-09-16T11:15:21

Katika sehemu hii ya pili ya makala Changu chako juma hili, mtangazaji wako Ali Bilali anakuletea sehemu ya pili ya Historia ya ngome ya Fort Jesus iliopo Mombasa nchini Kenya na muendelezo wa...

Listen
Changu Chako, Chako Changu
Changu Chako, Chako Changu - Sehemu ya pili ya makala kuhusu Historia ya ngome Yesu Fort Jesus from 2021-09-16T11:15:21

Katika sehemu hii ya pili ya makala Changu chako juma hili, mtangazaji wako Ali Bilali anakuletea sehemu ya pili ya Historia ya ngome ya Fort Jesus iliopo Mombasa nchini Kenya na muendelezo wa...

Listen
Changu Chako, Chako Changu
Warsha ya wiki nzima kuhusu Bleu Economy iliofanyika Mombasa nchini Kenya from 2021-09-16T11:05:26

Makala haya yanagusia kwa kina zaidi kuhusu warsha ya wiki nzima kuhusu uchumi wa Bleu ilioandaliwa na  Alliance Francaise ya Mambasa chini ya ufadhili wa wiazara ya mambo ya nje ya Ufaransa.<...

Listen
Changu Chako, Chako Changu
Changu Chako, Chako Changu - Warsha ya wiki nzima kuhusu Bleu Economy iliofanyika Mombasa nchini Kenya from 2021-09-16T11:05:26

Makala haya yanagusia kwa kina zaidi kuhusu warsha ya wiki nzima kuhusu uchumi wa Bleu ilioandaliwa na  Alliance Francaise ya Mambasa chini ya ufadhili wa wiazara ya mambo ya nje ya Ufaransa.<...

Listen
Changu Chako, Chako Changu
Fahamu historia ya jiji la Bujumbura nchini Burundi from 2021-09-16T10:50:41

Katika makala haya mtangazaji wako Ali Bilali mtaalamu wa maswala ya Historia kupitia idhaa ya Kiswahili ya RFI, anakuletea Historia ya jiji la Bujumbura nchini Burundi.

Listen
Changu Chako, Chako Changu
Changu Chako, Chako Changu - Fahamu historia ya jiji la Bujumbura nchini Burundi from 2021-09-16T10:50:41

Katika makala haya mtangazaji wako Ali Bilali mtaalamu wa maswala ya Historia kupitia idhaa ya Kiswahili ya RFI, anakuletea Historia ya jiji la Bujumbura nchini Burundi.

Listen
Changu Chako, Chako Changu
Historia ya tamasha la Utamaduni wa Mtanzania mila na desturi from 2021-09-16T10:41:55

Ambatana naye Ali Bilali kufahamu zaidi tamasha la Utamaduni wa Mtanzania mila la desturi lililofanyika hivi karibuni mkoani Mwanza lililohudhuria na machifu kutoka kila kona ya Tanzania.

Listen
Changu Chako, Chako Changu
Changu Chako, Chako Changu - Historia ya tamasha la Utamaduni wa Mtanzania mila na desturi from 2021-09-16T10:41:55

Ambatana naye Ali Bilali kufahamu zaidi tamasha la Utamaduni wa Mtanzania mila la desturi lililofanyika hivi karibuni mkoani Mwanza lililohudhuria na machifu kutoka kila kona ya Tanzania.

Listen
Changu Chako, Chako Changu
Historia ya Ufalme wa Buganda nchini Uganda from 2021-09-16T10:36:52

Katika Makala haya, Hillary Ingati anakuletea Historia ya mfalme wa Buganda nchini Uganda

Listen
Changu Chako, Chako Changu
Changu Chako, Chako Changu - Historia ya Ufalme wa Buganda nchini Uganda from 2021-09-16T10:36:52

Katika Makala haya, Hillary Ingati anakuletea Historia ya mfalme wa Buganda nchini Uganda

Listen
Changu Chako, Chako Changu
Histori ya jiji la Nairobi na utamaduni wa mahafali kupigana nchini Kenya from 2021-08-11T08:44:52

Je, unafahamu historia ya jiji kuu la Kenya Nairobi ? Tunakufahamisha pia kuhusu utamaduni wa mafali kupambanishwa, Magharibi mwa nchi hiyo.

Listen
Changu Chako, Chako Changu
Changu Chako, Chako Changu - Histori ya jiji la Nairobi na utamaduni wa mahafali kupigana nchini Kenya from 2021-08-11T08:44:52

Je, unafahamu historia ya jiji kuu la Kenya Nairobi ? Tunakufahamisha pia kuhusu utamaduni wa mafali kupambanishwa, Magharibi mwa nchi hiyo.

Listen
Changu Chako, Chako Changu
Historia ya ngome ya Fort Jesus mjini Mombasa na tamasha la blu Economy from 2021-07-27T09:00:38

Katika Makala haya Changu chako juma hili, mtangazaji wako Ali Bilali anakuletea Historia ya ngome ya Fort Jesus ilipo Mombasa nchini Kenya na muendelezo wa tamasha la Blu Economy lililofanyik...

Listen
Changu Chako, Chako Changu
Changu Chako, Chako Changu - Historia ya ngome ya Fort Jesus mjini Mombasa na tamasha la blu Economy from 2021-07-27T09:00:38

Katika Makala haya Changu chako juma hili, mtangazaji wako Ali Bilali anakuletea Historia ya ngome ya Fort Jesus ilipo Mombasa nchini Kenya na muendelezo wa tamasha la Blu Economy lililofanyik...

Listen
Changu Chako, Chako Changu
Sherehe za mapinduzi ya Ufaransa na Tamasha la Bleu Economy lililofanyika Mombasa from 2021-07-22T15:51:13

Makala changu Chako Chako Changu juma hili tunakukumbusha Historia ya mapinduzi ya Ufaransa pamoja na shughuli mbalimbali zililizofanyika na kuandaliwa na kituo cha Utamaduni wa Ufaransa cha M...

Listen
Changu Chako, Chako Changu
Changu Chako, Chako Changu - Sherehe za mapinduzi ya Ufaransa na Tamasha la Bleu Economy lililofanyika Mombasa from 2021-07-22T15:51:13

Makala changu Chako Chako Changu juma hili tunakukumbusha Historia ya mapinduzi ya Ufaransa pamoja na shughuli mbalimbali zililizofanyika na kuandaliwa na kituo cha Utamaduni wa Ufaransa cha M...

Listen
Changu Chako, Chako Changu
Historia ya Uhuru wa Burundi uliopatikana Julai Mosi 1962 from 2021-07-09T11:12:28

Katika Makala haya mtangazaji wako Ali Bilali anakuletea Historia ya Uhuru wa Burundi ambao husherehekewa kila ifikapo Julay 01. Ambatana naye kufahamu zaidi harakati zilivyokuwa hadi kuuawa k...

Listen
Changu Chako, Chako Changu
Changu Chako, Chako Changu - Historia ya Uhuru wa Burundi uliopatikana Julai Mosi 1962 from 2021-07-09T11:12:28

Katika Makala haya mtangazaji wako Ali Bilali anakuletea Historia ya Uhuru wa Burundi ambao husherehekewa kila ifikapo Julay 01. Ambatana naye kufahamu zaidi harakati zilivyokuwa hadi kuuawa k...

Listen
Changu Chako, Chako Changu
Historia ya Uhuru wa jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo 1960 from 2021-06-29T13:53:30

Katika Makala haya, mtanzaji wako amuandamizi wa Makala za Historia Ali Bilali anakuletea Historia ya Uhuru wa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo. DRCongo ilipata uhuru Juni 30 mwaka 1960 kupit...

Listen
Changu Chako, Chako Changu
Changu Chako, Chako Changu - Historia ya Uhuru wa jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo 1960 from 2021-06-29T13:53:30

Katika Makala haya, mtanzaji wako amuandamizi wa Makala za Historia Ali Bilali anakuletea Historia ya Uhuru wa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo. DRCongo ilipata uhuru Juni 30 mwaka 1960 kupit...

Listen
Changu Chako, Chako Changu
Historia ya wanaharakati wa mapinduzi nchini Kenya Mau Mau from 2021-06-25T08:12:42

Katika Makala haya, Ali Bilali anazungumzia kuhusu Historia ya wanaharakati wa Uhuru nchini Kenya Mau Mau.

Listen
Changu Chako, Chako Changu
Changu Chako, Chako Changu - Historia ya wanaharakati wa mapinduzi nchini Kenya Mau Mau from 2021-06-25T08:12:42

Katika Makala haya, Ali Bilali anazungumzia kuhusu Historia ya wanaharakati wa Uhuru nchini Kenya Mau Mau.

Listen
Changu Chako, Chako Changu
Changu Chako, Chako Changu - Makala maalum miaka mia moja ya radio sehemu ya pili. from 2021-06-14T15:52:49

Katika sehemu ya pili ya makala kuhusu miaka mia moja ya radio, Ali Bilali anakuletea historia ya kuzaliwa kwa radio France Internationale RFI. na kwenye kipengele cha Muziki utapata Burudani ...

Listen
Changu Chako, Chako Changu
Makala maalum miaka mia moja ya radio sehemu ya pili. from 2021-06-14T15:52:49

Katika sehemu ya pili ya makala kuhusu miaka mia moja ya radio, Ali Bilali anakuletea historia ya kuzaliwa kwa radio France Internationale RFI. na kwenye kipengele cha Muziki utapata Burudani ...

Listen
Changu Chako, Chako Changu
Historia ya Radio miaka mia moja tangu kuundwa kwake sehemu ya kwanza from 2021-06-07T18:36:23

Makala haya Changu Chako Ali Bilali anakuletea Historia ya miaka 100 tangu kuundwa kwa radio, hatuwa ya mwanzo kabisa hadi kupatikana kwa masafa marefu na mafupi, hii ikiwa ni sehemu ya kwanza...

Listen
Changu Chako, Chako Changu
Changu Chako, Chako Changu - Historia ya Radio miaka mia moja tangu kuundwa kwake sehemu ya kwanza from 2021-06-07T18:36:23

Makala haya Changu Chako Ali Bilali anakuletea Historia ya miaka 100 tangu kuundwa kwa radio, hatuwa ya mwanzo kabisa hadi kupatikana kwa masafa marefu na mafupi, hii ikiwa ni sehemu ya kwanza...

Listen
Changu Chako, Chako Changu
Historia ya Kiongozi wa Tchad Idriss Debby Itno sehemu ya kwanza from 2021-05-25T14:15:07

Katika sehemu hii ya kwanza, mwanahistoria Ali Bilali anakuletea Historia ya rais wa Tchad Idriss Deby Itno, katika sehemu hii ya kwanza anakueleza kuhusu harakati zake kuelekea kuishika dola ...

Listen
Changu Chako, Chako Changu
Changu Chako, Chako Changu - Historia ya Kiongozi wa Tchad Idriss Debby Itno sehemu ya kwanza from 2021-05-25T14:15:07

Katika sehemu hii ya kwanza, mwanahistoria Ali Bilali anakuletea Historia ya rais wa Tchad Idriss Deby Itno, katika sehemu hii ya kwanza anakueleza kuhusu harakati zake kuelekea kuishika dola ...

Listen
Changu Chako, Chako Changu
Historia ya mwanamapinduzi rais wa zamani wa BurkinaFaso Thomas Sankara sehemu ya tatu from 2021-05-12T18:26:36

Katika sehemu hii ya tatu mtangazaji wako Ali Bilali akiambatana na Benson Wakoli wanakuletea sehemu Historia ya Thomas Snakara ambapo sehemu hii inazungumzia kuhusu harakati za ukosoaji wa Ma...

Listen
Changu Chako, Chako Changu
Changu Chako, Chako Changu - Historia ya mwanamapinduzi rais wa zamani wa BurkinaFaso Thomas Sankara sehemu ya tatu from 2021-05-12T18:26:36

Katika sehemu hii ya tatu mtangazaji wako Ali Bilali akiambatana na Benson Wakoli wanakuletea sehemu Historia ya Thomas Snakara ambapo sehemu hii inazungumzia kuhusu harakati za ukosoaji wa Ma...

Listen
Changu Chako, Chako Changu
Historia ya rais wa zamani wa BurkinaFaso Thomas Sankara mwanzo wa harakati sehemu ya pili from 2021-05-12T18:14:10

Katika sehemu hii ya pili, mwanahistoria wetu Ali Bilali anakuletea historia na namna Thomas Sankara alivyoanza harakati zake za kisiasa.

Listen
Changu Chako, Chako Changu
Changu Chako, Chako Changu - Historia ya rais wa zamani wa BurkinaFaso Thomas Sankara mwanzo wa harakati sehemu ya pili from 2021-05-12T18:14:10

Katika sehemu hii ya pili, mwanahistoria wetu Ali Bilali anakuletea historia na namna Thomas Sankara alivyoanza harakati zake za kisiasa.

Listen
Changu Chako, Chako Changu
Historia ya rais wa zamani wa BurkinaFaso Thomas Sankara sehemu ya kwanza from 2021-05-07T08:37:30

Katika sehemu hii ya kwanza ya Makala kuhusu Historia ya rais wa zamani wa BurkinaFaso Capreni Thomas Sankara, Ali Bilali na Benson Wakoli wanazungumzia kuhusu alivoanza harakati kuelekea kwen...

Listen
Changu Chako, Chako Changu
Changu Chako, Chako Changu - Historia ya rais wa zamani wa BurkinaFaso Thomas Sankara sehemu ya kwanza from 2021-05-07T08:37:30

Katika sehemu hii ya kwanza ya Makala kuhusu Historia ya rais wa zamani wa BurkinaFaso Capreni Thomas Sankara, Ali Bilali na Benson Wakoli wanazungumzia kuhusu alivoanza harakati kuelekea kwen...

Listen
Changu Chako, Chako Changu
Historia ya wimbo wa hisani uliopiga fora kote duniani sehem ya pili from 2021-05-01T12:01:14

Sehemu ya pili ya Katika Makala kuhusu Historia ya wimbo wa hisani uliopiga fora kote duniani miaka zaidi ya 30 iliopita mpaka leo We are the World. Wimbo huu uliwajumuisha wanamuziki zaidi ya...

Listen
Changu Chako, Chako Changu
Changu Chako, Chako Changu - Historia ya wimbo wa hisani uliopiga fora kote duniani sehem ya pili from 2021-05-01T12:01:14

Sehemu ya pili ya Katika Makala kuhusu Historia ya wimbo wa hisani uliopiga fora kote duniani miaka zaidi ya 30 iliopita mpaka leo We are the World. Wimbo huu uliwajumuisha wanamuziki zaidi ya...

Listen
Changu Chako, Chako Changu
Historia ya wimbo wa hisani uliopiga fora kote duniani sehem ya kwanza from 2021-05-01T11:33:44

Katika Makala haya muandishi wa maswala ya Historia anakuletea Historia ya wimbo wa hisani uliopiga fora kote duniani miaka zaidi ya 30 iliopita mpaka leo We are the World. Wimbo huu uliwajumu...

Listen
Changu Chako, Chako Changu
Changu Chako, Chako Changu - Historia ya wimbo wa hisani uliopiga fora kote duniani sehem ya kwanza from 2021-05-01T11:33:44

Katika Makala haya muandishi wa maswala ya Historia anakuletea Historia ya wimbo wa hisani uliopiga fora kote duniani miaka zaidi ya 30 iliopita mpaka leo We are the World. Wimbo huu uliwajumu...

Listen
Changu Chako, Chako Changu
Historia ya Siku ya Kimataifa ya Francophonie ambayo huadhimishwa kila March 20 ya kila mwaka from 2021-03-23T07:29:28

Makala haya ni muendelezo wa Makala kuhusu mwezi wa la francophonie, sehemu hii tunazunhumezia kuhusu siku ya kimataifa ya nchi zinazo zungumza lugha ya Kifaransa, pamoja na hatuwa ya uzinduzi...

Listen
Changu Chako, Chako Changu
Changu Chako, Chako Changu - Historia ya Siku ya Kimataifa ya Francophonie ambayo huadhimishwa kila March 20 ya kila mwaka from 2021-03-23T07:29:28

Makala haya ni muendelezo wa Makala kuhusu mwezi wa la francophonie, sehemu hii tunazunhumezia kuhusu siku ya kimataifa ya nchi zinazo zungumza lugha ya Kifaransa, pamoja na hatuwa ya uzinduzi...

Listen
Changu Chako, Chako Changu
Makala maalum kuhusu mwezi wa Francophonie sehemu ya tatu from 2021-03-15T17:16:04

Katika sehemu hii ya tatu ya Makala kuhusu la Franchophonie, mtangazaji wako Ali Bilali amempokea studioni Julie Briand afisaa kutoka Ubalizi wa Ufaransa jijini Nairobi kuzungumzia mengi zaidi...

Listen
Changu Chako, Chako Changu
Changu Chako, Chako Changu - Makala maalum kuhusu mwezi wa Francophonie sehemu ya tatu from 2021-03-15T17:16:04

Katika sehemu hii ya tatu ya Makala kuhusu la Franchophonie, mtangazaji wako Ali Bilali amempokea studioni Julie Briand afisaa kutoka Ubalizi wa Ufaransa jijini Nairobi kuzungumzia mengi zaidi...

Listen
Changu Chako, Chako Changu
Makala Maalum kuhusu La Francophonie sehemu ya pili from 2021-03-09T17:43:38

Katika makala haya mwanahabari wako Ali Bilaki anakuletea sehemu ya pili ya makala maalum kuhusu Historia ya la Francophonie. na kwenye burudani utapata kusikia wimbo wake Vitaa feat Slimane "...

Listen
Changu Chako, Chako Changu
Changu Chako, Chako Changu - Makala Maalum kuhusu La Francophonie sehemu ya pili from 2021-03-09T17:43:38

Katika makala haya mwanahabari wako Ali Bilaki anakuletea sehemu ya pili ya makala maalum kuhusu Historia ya la Francophonie. na kwenye burudani utapata kusikia wimbo wake Vitaa feat Slimane "...

Listen
Changu Chako, Chako Changu
Historia ya Umoja wa Afrika kuhusu uteuzi wa viongozi na badgeti sehemu ya tatu from 2021-03-03T13:56:19

Makala haya ya changu chako changu sehemu hii ya tatu, mtangazaji wako nguli wa Historia, utamaduni na Muziki Ali Bilali anakuletea sehemu hii ya tatu ambayo ndio ya mwisho kuhusu historia ya ...

Listen
Changu Chako, Chako Changu
Changu Chako, Chako Changu - Historia ya Umoja wa Afrika kuhusu uteuzi wa viongozi na badgeti sehemu ya tatu from 2021-03-03T13:56:19

Makala haya ya changu chako changu sehemu hii ya tatu, mtangazaji wako nguli wa Historia, utamaduni na Muziki Ali Bilali anakuletea sehemu hii ya tatu ambayo ndio ya mwisho kuhusu historia ya ...

Listen
Changu Chako, Chako Changu
Changu Chako, Chako Changu - Historia ya Umoja wa Afrika, kuanzishwa kwake hadi sasa sehemu ya pili from 2021-03-03T11:55:56

Hii ni sehemu ya pili ya Makala kuhusu Historia ya Umoja wa Afrika, ambapo katika sehemu hii utapata kusikia kuhusu nchi wanachama wa Umoja huo lakini pia kurejea kwa Morroco katika Umoja baad...

Listen
Changu Chako, Chako Changu
Changu Chako, Chako Changu - Makala maalum ya rfikiswahili ikiadhimisha mwezi wa la Francophonie sehemu ya kwanza from 2021-03-03T11:20:37

Mtangazaji wako nguli wa maswala ya utamaduni na Muziki Ali Bilali anakuletea Makala maalum kuhusu Jumuiya ya nchi zinazo zungumza lugha ya kifaransa maharufu la francophonie. kwenye kipengele...

Listen
Changu Chako, Chako Changu
Changu Chako, Chako Changu - Historia ya Utawala wa rais wa zamani wa Burundi Pierre Buyaya sehemu ya kwanza from 2021-01-30T13:41:20

Makala haya ya leo Changu Chako Chako Changu mtangazaji wako Ali Bilali anakuletea Historia ya Utawala wa rais wa zamani Pierre Buyoya ambae amefariki dunia juma hili huko Paris ambako alikuwa...

Listen
Changu Chako, Chako Changu
Changu Chako, Chako Changu - Muungano wa Tanganyika na Zanzibar from 2021-01-20T08:06:26

Makala Changu chako chako changu juma hili mtangazaji wako Ali Bilali anakuletea Historia ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar, ilikuwaje hadi mataifa hayo kuungana, hii kiwa ni sehemu ya kwa...

Listen
Changu Chako, Chako Changu
Changu Chako, Chako Changu - Ujio wa rais Pierre Nkurunziza madarakani from 2021-01-15T11:24:47

Katika sehemu hii ya tatu ya Makala kuhusu utawala wa rais wa zamani wa Burundi Pierre Buyoya, mtangazaji wako Ali Bilali anakuletea historia kuhusu ujio wa rais Pierre Nkurunziza madarakani n...

Listen
Changu Chako, Chako Changu
Changu Chako, Chako Changu - HISTORIA YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR from 2021-01-09T18:15:02

Juma hili mtangazaji wako Ali Bilali anakuletea Historia ya mapinduzi ya Zanzibar, kabla ya kukuletea Historia ya Muungano baina ya Tanganyika na Zanzibar, sikiliza na makinikia zaidi. usiikos...

Listen
Changu Chako, Chako Changu
Changu Chako, Chako Changu - Chimbuko la kundi la waasi wa ADF mashariki mwa DRC from 2019-11-25T11:29:22

Changu chako chako changu, juma hili imeangazia chimbuko la kundi la waasi wa kiislamu wa Uganda, Allied Democratic Forces (ADF) lenye chimbuko lake nchini Uganda lakini kwa sasa limejichimbia...

Listen
Changu Chako, Chako Changu
Changu Chako, Chako Changu - Historia ya chimbuko la mitandao ya kijamii from 2019-11-18T10:38:18

Makala ya changu chako chako changu imeangazia kuhusu chimbuko la mitandao ya kijamii, lakini pia athari zake na namna ya kuepukana na udanganyifu katika mitandao hiyo. Katika kipengele cha ut...

Listen
Changu Chako, Chako Changu
Changu Chako, Chako Changu - Chimbuko la taifa la Israeli, Kenya na Ufaransa zakubaliana kukuza vipaji kuhusu uchoraji wa vibonzo from 2019-11-04T07:37:33

Katika makala hii tumangazia chimbuko la taifa la Israeli, wakati katika utamaduni tumeangazia makubaliano yaliyoafikiwa kati ya Kenya na Ufaransa kupitia ubalozi wake ulioko jijini Nairobi ku...

Listen
Changu Chako, Chako Changu
Changu Chako, Chako Changu - Mkutano wa Kimtaifa wamaendeleo ya kiuchumi baina ya Japan na Afrika from 2019-09-18T12:16:58

Katika Makala haya utapata kufahamu kuhusu historia ya mkutano wa Kimataifa wa Tokyo juu ya maendeleo ya Afrika TICAD. (Tokyo International Conference on Africa Developpment). kwenye kipengele...

Listen
Changu Chako, Chako Changu
Changu Chako, Chako Changu - Utamaduni wa kuvaa Shanga, na Mariam wa Migomba from 2019-09-17T13:28:54

Katika Makala haya utapata kusikia sehemu ya 3 ya Historia ya wakimbizi Duniani, lakini pia Ali Bilali amezungumza na Somo bi Mariam wa Migomba kuhusu uvaaji wa Shanga kwa wanawake. Utapata pi...

Listen
Changu Chako, Chako Changu
Changu Chako, Chako Changu - Sehemu ya II ya makala kuhusu Mugabe, kuagwa kwake from 2019-09-17T13:12:24

Awamu hii ya pili ya Makala kuhusu Mugabe, inazungumzia kuhusu zoezi la kuagwa kwa muili wake jijini Harare Septemba 14 ambapo ma rais kadhaa wa sasa na waliostaafu wamehudhuria shughuli hiyo....

Listen
Changu Chako, Chako Changu
Changu Chako, Chako Changu - Historia ya aliekuwa rais wa Zimbabwe Robert Gabriel Mugabe from 2019-09-17T13:05:51

Makala haya, Ali Bilali anakuletea Historia ya rais wa zamani wa Zimbabwe Robert Gabriel Mugabe alietangazwa kuwa baba wa taifa wa Zimbabwe na rais wa sasa wa nchi hiyo siku moja baada ya kifo...

Listen
Changu Chako, Chako Changu
Changu Chako, Chako Changu - Sehemu ya pili ya Makala kuhusu SADC from 2019-09-17T12:52:14

Makala haya ni sehemu ya pili kuhusu Historia ya mkutano wa nchi za kiuchumi za kusini mwsa Afrika SADC. Utapata pia kufahamu utamaduni wa ndoa za kimasai, huku burudani murua kabisa kutoka ku...

Listen
Changu Chako, Chako Changu
Changu Chako, Chako Changu - Historia ya nchi 7 tajiri Duniani maharufu G7 from 2019-09-17T12:33:54

Katika Makala haya nakuletea Historia ya nchi tajiri Duniani ama G7, lakini pia utapata kusikia utamaduni wa kumuoza binti wa Kiratoga nchini Tanzania, huku nikikupa burudani ya Muziki wa Werr...

Listen
Changu Chako, Chako Changu
Changu Chako, Chako Changu - Historia ya Ruge Mutahaba from 2019-09-17T12:26:33

Makala haya Ali Bilali anakuletea Historia ya aliekuwa Mkurugenzi wa vipindi kwenye kituo cha radio Clauds FM aliefariki duniani wakati akipatiwa matibabu nchini India. utapata pia kufahamu ma...

Listen
Changu Chako, Chako Changu
Changu Chako, Chako Changu - Sehemu ya II ya Historia ya wakimbizi duniani from 2019-09-17T12:00:27

Makala haya ni sehemu ya pili kuhusu siku ya wakimbizi duniani, na kwenye kipengele cha le parler Francophone utapata kusikia hapa namna Miradi ya Ufaransa imeendelea kukita mizizi katika mata...

Listen
Changu Chako, Chako Changu
Changu Chako, Chako Changu - Historia ya mapinduzi ya Ufaransa la Fete de la Bastielle from 2019-09-17T11:48:11

Katika Makala haya, Ali Bilali amezungumza na balozi wa Ufaransa nchini Tanzania Frederic Clavier kuhusu siku kuu ya mapinduzi nchini Ufaransa ambayo huadhimishwa kila Julay 14.

Listen
Changu Chako, Chako Changu
Changu Chako, Chako Changu - Etienne Tshisekedi Muasisi wa demokrasia DRC? from 2019-02-04T10:06:38

Katika makala hii tumeangazia maisha ya aliyekuwa muasisi wa demokrasia nchini jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, Etienne Tshisekedi wa Mulumba, ambaye tangu alipozaliwa tarehe 14 mwezi Disemba...

Listen
Changu Chako, Chako Changu
Changu Chako, Chako Changu - Mwanamitindo kutoka nchini Tanzania na harakati zake za kujikwamua na maisha from 2018-12-04T10:48:19

Katika Makala haya, Ali Bilali anazungumza na mwanadada anaejihusisha na mitindo ambae amekuwa akipambana kujikwamua kimaisha, ambapo shughuli zake anaendesha katika majengo ya kituo cha kimat...

Listen
Changu Chako, Chako Changu
Changu Chako, Chako Changu - Historia ya maonyesho ya Kimataifa ya biashara maharufu Saba Saba from 2018-12-04T10:32:35

Yanafanyika maonyesho ya Kimataifa ya biashara jijini Dar Es Salaam nchini Tanzania maharufu kama Sabasaba, inakuwa ni fursa kwa wafanyabiashara kutoka katika mataifa mbalimbali kushindanisha ...

Listen
Changu Chako, Chako Changu
Changu Chako, Chako Changu - Ifahamu Historia ya kanisa from 2018-12-04T10:12:40

Juma hili Ali Bilali anazungumza na Reverand Jerome Kanon Napela wa kanisa la kianglikana la mtakatifu Nikolao Ilala, Dar Es Salaam nchini Tanzania ambae ni mwanahistoria ya mambo ya kale anat...

Listen
Changu Chako, Chako Changu
Changu Chako, Chako Changu - Ifahamu Historia ya Kombe la Dunia from 2018-12-04T09:52:15

Je, unaifahamu historia ya Kombe la Dunia? ambatana naye hapa Ali Bilali kufahamu zaidi kuhusu historia ya mpira ya miguu, usikosi pia kumofollow kwa instagram kwa kuandika @billy_bilali

Listen