Historia ya wimbo wa hisani uliopiga fora kote duniani sehem ya pili - a podcast by RFI

from 2021-05-01T12:01:14

:: ::


Sehemu ya pili ya Katika Makala kuhusu Historia ya wimbo wa hisani uliopiga fora kote duniani miaka zaidi ya 30 iliopita mpaka leo We are the World. Wimbo huu uliwajumuisha wanamuziki zaidi ya 80 wa Marekani kwa ajili ya kuchangisha fedha za misaada kuwasaidia watu waliokumbwa na baa la Njaa katika pembe ya Afrika lakini pia Marekani.

Further episodes of Changu Chako, Chako Changu

Further podcasts by RFI

Website of RFI