Gurudumu la Uchumi - Biashara isiwe chanzo kuvunjika kwa Jumuiya ya Afrika Mashariki - a podcast by RFI

from 2021-03-10T16:55:06

:: ::


Makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili, inajadili mzozo ama mvutano wa kibiashara baina ya nchi wanachama za Jumuiya ya Afrika Mashariki, hasa baada ya nchi ya Kenya kupiga marufuku uingizwaji wa mahindi kutoka Tanzania na Uganda, hatua ambayo wataalamu wa Uchumi wanasema ni ya kibiashara zaidi kuliko uhalisia kuwa mahindi kutoka kwenye nchi hizo yana sumu.

Mtayarishaji wa makala haya Emmanuel Makundi, amezungumza na Dr Bravious Kayoza, mtaalamu wa masuala ya uchumi akiwa Dar es Salaam, Tanzania.

Further episodes of Gurudumu la Uchumi

Further podcasts by RFI

Website of RFI