Podcasts by Gurudumu la Uchumi

Gurudumu la Uchumi

Fahamu masuala kadha wa kadha kuhusu uchumi kama vile, namna ya kupambana na umaskini, mfumuko wa bei, kushamiri kwa matumizi ya dola na athari za kuyumba kwa uchumi wa dunia kwa nchi za Afrika. Mada hizi zinafanyiwa utafiti wa kina na zinazungumzwa kwa lugha rahisi inayoeleweka ili kukufanya uelewe na usichoke kusikiliza .

Further podcasts by RFI

Podcast on the topic Wirtschaft

All episodes

Gurudumu la Uchumi
Wataalamu, nchi haziwezi kukwepa kukopa from 2022-01-13T12:34:25

Makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili, inaangazia suala la ukopaji na madeni yanayozikabili nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki, na ni baada ya kuibuka mijadala kuhusu namna nchi za Kenya na ...

Listen
Gurudumu la Uchumi
Mchango wa asasi za kijamii kiuchumi from 2021-09-02T08:18:31

Makala ya Gurudumu la Uchumi, juma hili inaangazia mchango wa asasi za kiraia kwenye jamii na hasa kuziwezesha kiuchumi.

Listen
Gurudumu la Uchumi
Gurudumu la Uchumi - Mchango wa asasi za kijamii kiuchumi from 2021-09-02T08:18:31

Makala ya Gurudumu la Uchumi, juma hili inaangazia mchango wa asasi za kiraia kwenye jamii na hasa kuziwezesha kiuchumi.

Listen
Gurudumu la Uchumi
Mustakabali wa uchumi wa Zambia baada ya uchaguzi from 2021-09-02T08:13:27

Makala ya Gurudumu la Uchumi, juma hili inaangazia kuhusu musatakabali wa uchumi wa Zambia, baada ya kupata rais mpya, Hakainde Hichilema.

Listen
Gurudumu la Uchumi
Gurudumu la Uchumi - Mustakabali wa uchumi wa Zambia baada ya uchaguzi from 2021-09-02T08:13:27

Makala ya Gurudumu la Uchumi, juma hili inaangazia kuhusu musatakabali wa uchumi wa Zambia, baada ya kupata rais mpya, Hakainde Hichilema.

Listen
Gurudumu la Uchumi
Siku ya Kimataifa ya Vijana from 2021-09-02T08:08:43

Makala ya Gurudumu la Uchumi, juma hili inaangazia siku ya kimataifa ya Vijana.

Listen
Gurudumu la Uchumi
Gurudumu la Uchumi - Siku ya Kimataifa ya Vijana from 2021-09-02T08:08:43

Makala ya Gurudumu la Uchumi, juma hili inaangazia siku ya kimataifa ya Vijana.

Listen
Gurudumu la Uchumi
Matumizi sahihi ya fedha za uma from 2021-09-02T08:04:53

Makala ya gurudumu la uchumi juma hili inaangazia mjadala kuhusu matumizi sahihi ya fedha za uma kwa maendeleo.

Listen
Gurudumu la Uchumi
Gurudumu la Uchumi - Matumizi sahihi ya fedha za uma from 2021-09-02T08:04:53

Makala ya gurudumu la uchumi juma hili inaangazia mjadala kuhusu matumizi sahihi ya fedha za uma kwa maendeleo.

Listen
Gurudumu la Uchumi
Siku ya tozo ya Internet nchini Uganda na nchi wanachama from 2021-09-02T08:04:26

Makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili inaangazia tozo za matumizi ya mitandao kwenye nchi za Afrika Mashariki, hasa kwenye taifa la Uganda.

Listen
Gurudumu la Uchumi
Gurudumu la Uchumi - Siku ya tozo ya Internet nchini Uganda na nchi wanachama from 2021-09-02T08:04:26

Makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili inaangazia tozo za matumizi ya mitandao kwenye nchi za Afrika Mashariki, hasa kwenye taifa la Uganda.

Listen
Gurudumu la Uchumi
Gurudumu la Uchumi - Mjadala Kuhusu Jinsia na uwezeshaji from 2021-07-21T12:22:09

Makala ya Gurudumu la uchumi juma hili, inakuletea mjadala maalumu kuhusu Jinsia, mjadala ulioandaliwa na ubalozi wa Ufaransa na kurekodiwa katika studio za Idhaa ya Kiswahili ya Radio France ...

Listen
Gurudumu la Uchumi
Mjadala Kuhusu Jinsia na uwezeshaji from 2021-07-21T12:22:09

Makala ya Gurudumu la uchumi juma hili, inakuletea mjadala maalumu kuhusu Jinsia, mjadala ulioandaliwa na ubalozi wa Ufaransa na kurekodiwa katika studio za Idhaa ya Kiswahili ya Radio France ...

Listen
Gurudumu la Uchumi
Kuwa mwanamke si kikwazo cha kufanya kazi tofauti from 2021-07-14T18:18:39

Makala ya Gurudumu la Uchumi, juma hili, imezungumza na wanawake wawili kati ya wengi nchini Kenya, ambao wanafanya kazi katika huduma za usafiri wa uma, tutakuwa na Easter Wanjiru, ambae ni d...

Listen
Gurudumu la Uchumi
Gurudumu la Uchumi - Kuwa mwanamke si kikwazo cha kufanya kazi tofauti from 2021-07-14T18:18:39

Makala ya Gurudumu la Uchumi, juma hili, imezungumza na wanawake wawili kati ya wengi nchini Kenya, ambao wanafanya kazi katika huduma za usafiri wa uma, tutakuwa na Easter Wanjiru, ambae ni d...

Listen
Gurudumu la Uchumi
Athari za vikwazo vya kiuchumi kwa mataifa masikini from 2021-06-25T15:25:51

Makala ya Gurudumu la Uchumi, juma hili inaangazia kuhusu athari za vikwazo vya kiuchumi kwa mataifa masikini.

Listen
Gurudumu la Uchumi
Gurudumu la Uchumi - Athari za vikwazo vya kiuchumi kwa mataifa masikini from 2021-06-25T15:25:51

Makala ya Gurudumu la Uchumi, juma hili inaangazia kuhusu athari za vikwazo vya kiuchumi kwa mataifa masikini.

Listen
Gurudumu la Uchumi
Fursa ya Kilimo Biashara from 2021-06-16T17:40:30

Makala ya Gurudumu la Uchumi, juma hili inaangazia namna bora ya kufanya kilimo chenye tija ambacho kitamsaidia mkulima na nchi za Afrika Mashariki kiuchumi.

Listen
Gurudumu la Uchumi
Gurudumu la Uchumi - Fursa ya Kilimo Biashara from 2021-06-16T17:40:30

Makala ya Gurudumu la Uchumi, juma hili inaangazia namna bora ya kufanya kilimo chenye tija ambacho kitamsaidia mkulima na nchi za Afrika Mashariki kiuchumi.

Listen
Gurudumu la Uchumi
Kutokana na kukua kwa utandawazi, vijana kujengewa uwezo kutumia teknolojia from 2021-06-09T17:58:14

Katika makala ya Gurudumu la Uchumi, juma hili tunaangazia namna vijana wanaweza kujengewa uwezo kupitia vipaji walivyonavyo, kupewa ujuzi na stadi za maisha kupitia teknolojia ili kujikwamua ...

Listen
Gurudumu la Uchumi
Gurudumu la Uchumi - Kutokana na kukua kwa utandawazi, vijana kujengewa uwezo kutumia teknolojia from 2021-06-09T17:58:14

Katika makala ya Gurudumu la Uchumi, juma hili tunaangazia namna vijana wanaweza kujengewa uwezo kupitia vipaji walivyonavyo, kupewa ujuzi na stadi za maisha kupitia teknolojia ili kujikwamua ...

Listen
Gurudumu la Uchumi
Gurudumu la Uchumi - Je, ziara ya Rais wa Tanzania nchini Kenya, itapunguza mivutano ya kibiashara from 2021-05-05T17:30:08

Msikilizaji juma hili rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefanya ziara nchini Kenya na kukutana na mwenyeji wake rais Uhuru Kenyatta, ziara yake imekuja wakati huu nchi hizo mbili zikiend...

Listen
Gurudumu la Uchumi
Je, ziara ya Rais wa Tanzania nchini Kenya, itapunguza mivutano ya kibiashara from 2021-05-05T17:30:08

Msikilizaji juma hili rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefanya ziara nchini Kenya na kukutana na mwenyeji wake rais Uhuru Kenyatta, ziara yake imekuja wakati huu nchi hizo mbili zikiend...

Listen
Gurudumu la Uchumi
Vijana katika kipindi cha Corona na changamoto za kisaikolojia from 2021-04-21T17:30:07

Msikilizaji idadi ya vijana barani Afrika inaendelea kuongezeka kwa kasi nah ii ni kwa mujibu wa shirika la umoja wa Mataifa la Uchumi na maendeleo ya Jamii, Mfano mwaka 2015 kulikuwa na vijan...

Listen
Gurudumu la Uchumi
Gurudumu la Uchumi - Vijana katika kipindi cha Corona na changamoto za kisaikolojia from 2021-04-21T17:30:07

Msikilizaji idadi ya vijana barani Afrika inaendelea kuongezeka kwa kasi nah ii ni kwa mujibu wa shirika la umoja wa Mataifa la Uchumi na maendeleo ya Jamii, Mfano mwaka 2015 kulikuwa na vijan...

Listen
Gurudumu la Uchumi
Gurudumu la Uchumi - Kenya na mkopo mpya kutoka shirika la fedha diniani IMF from 2021-04-07T18:14:56

Makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili inaangazia hatua ya nchi ya Kenya kwenda kuomba mkopo zaidi kutoka shirika la fedha duniani IMF. Hatua ambayo imesababisha wananchi kuhoji kuhusu nchi ya...

Listen
Gurudumu la Uchumi
Kenya na mkopo mpya kutoka shirika la fedha diniani IMF from 2021-04-07T18:14:56

Makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili inaangazia hatua ya nchi ya Kenya kwenda kuomba mkopo zaidi kutoka shirika la fedha duniani IMF. Hatua ambayo imesababisha wananchi kuhoji kuhusu nchi ya...

Listen
Gurudumu la Uchumi
Gurudumu la Uchumi - Tanzania na Afrika itamkumbuka vipi Magufuli from 2021-03-24T16:30:07

Ametajwa na viongozi wenzake wengi kama mwanamajumuhi wa Afrika, Kutokana na utendaji wake na namna alivyokuwa mstari wa mbele kupigania maslahi ya nchi na raia wake licha ya ukosolewaji.
...

Listen
Gurudumu la Uchumi
Tanzania na Afrika itamkumbuka vipi Magufuli from 2021-03-24T16:30:07

Ametajwa na viongozi wenzake wengi kama mwanamajumuhi wa Afrika, Kutokana na utendaji wake na namna alivyokuwa mstari wa mbele kupigania maslahi ya nchi na raia wake licha ya ukosolewaji.
...

Listen
Gurudumu la Uchumi
Gurudumu la Uchumi - Biashara isiwe chanzo kuvunjika kwa Jumuiya ya Afrika Mashariki from 2021-03-10T16:55:06

Makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili, inajadili mzozo ama mvutano wa kibiashara baina ya nchi wanachama za Jumuiya ya Afrika Mashariki, hasa baada ya nchi ya Kenya kupiga marufuku uingizwaji...

Listen
Gurudumu la Uchumi
Biashara isiwe chanzo kuvunjika kwa Jumuiya ya Afrika Mashariki from 2021-03-10T16:55:06

Makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili, inajadili mzozo ama mvutano wa kibiashara baina ya nchi wanachama za Jumuiya ya Afrika Mashariki, hasa baada ya nchi ya Kenya kupiga marufuku uingizwaji...

Listen
Gurudumu la Uchumi
Uchumi wa Nigeria baada ya kuchaguliwa tena kwa rais Buhari from 2019-06-18T12:10:34

makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili inaangazia hali na mustakabali wa uchumi wa Nigeria baada ya kuchaguliwa tena kwa rais Muhammadu Buhari.

Listen
Gurudumu la Uchumi
Gurudumu la Uchumi - Uchumi wa Nigeria baada ya kuchaguliwa tena kwa rais Buhari from 2019-06-18T12:10:34

makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili inaangazia hali na mustakabali wa uchumi wa Nigeria baada ya kuchaguliwa tena kwa rais Muhammadu Buhari.

Listen
Gurudumu la Uchumi
Utoroshaji wa mitaji na fedha nje ya nchi from 2019-06-18T11:57:21

Makala ya Jua Haki Zako juma hili inajadili kuhusu tatizo la utoroshaji wa mitaji na fedha nje ya nchi, nini athari zake kwa uchumi wa taifa?

Listen
Gurudumu la Uchumi
Gurudumu la Uchumi - Utoroshaji wa mitaji na fedha nje ya nchi from 2019-06-18T11:57:21

Makala ya Jua Haki Zako juma hili inajadili kuhusu tatizo la utoroshaji wa mitaji na fedha nje ya nchi, nini athari zake kwa uchumi wa taifa?

Listen
Gurudumu la Uchumi
Ripoti ya ILO kuhusu ajira duniani from 2019-06-18T11:44:19

Makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili inaangazia kuhusu ripoti ya shirika la kimataifa linalohusika na Kazi ILO ambayo imetazama tatizo la ajira duniani.

Listen
Gurudumu la Uchumi
Gurudumu la Uchumi - Ripoti ya ILO kuhusu ajira duniani from 2019-06-18T11:44:19

Makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili inaangazia kuhusu ripoti ya shirika la kimataifa linalohusika na Kazi ILO ambayo imetazama tatizo la ajira duniani.

Listen
Gurudumu la Uchumi
Nini kifanyike kuvutia uwekezaji Afrika? from 2019-06-18T11:33:24

Makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili inaangazia kuhusu mkakati wa bara la Afrika kuvutia wawekezaji.

Listen
Gurudumu la Uchumi
Gurudumu la Uchumi - Nini kifanyike kuvutia uwekezaji Afrika? from 2019-06-18T11:33:24

Makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili inaangazia kuhusu mkakati wa bara la Afrika kuvutia wawekezaji.

Listen
Gurudumu la Uchumi
Mkutano wa Davos na ombwe kati ya walionacho na wasionacho from 2019-06-18T11:20:35

Makala ya Gurudumu la Uchumi inaangazia mkutano wa jukwaa la kiuchumi wa Davos na ombwe kati ya walio nacho na wasio nacho.

Listen
Gurudumu la Uchumi
Gurudumu la Uchumi - Mkutano wa Davos na ombwe kati ya walionacho na wasionacho from 2019-06-18T11:20:35

Makala ya Gurudumu la Uchumi inaangazia mkutano wa jukwaa la kiuchumi wa Davos na ombwe kati ya walio nacho na wasio nacho.

Listen
Gurudumu la Uchumi
Sekta ya madini nchini Tanzania, wadau wanasemaje from 2019-06-18T11:11:05

Makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili inaangazia mkutano wa kisekta wa wadau wa sekta ya madini nchini Tanzania, mkutano walioufanya na rais wa Tanzania, John Magufuli.

Listen
Gurudumu la Uchumi
Gurudumu la Uchumi - Sekta ya madini nchini Tanzania, wadau wanasemaje from 2019-06-18T11:11:05

Makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili inaangazia mkutano wa kisekta wa wadau wa sekta ya madini nchini Tanzania, mkutano walioufanya na rais wa Tanzania, John Magufuli.

Listen
Gurudumu la Uchumi
Kusimama kwa shughuli za Serikali Marekani baada rais Trump kukataa kupitisha bajeti from 2019-01-31T16:43:18

Makala ya Uchumi juma hili inaangazia mvutano wa kisiasa nchini Marekani kati ya wabunge wa Democrats na wale wa chama tawala cha Republican kuhusu ufadhili wa fedha kwaajili ya ujenzi wa ukut...

Listen
Gurudumu la Uchumi
Gurudumu la Uchumi - Kusimama kwa shughuli za Serikali Marekani baada rais Trump kukataa kupitisha bajeti from 2019-01-31T16:43:18

Makala ya Uchumi juma hili inaangazia mvutano wa kisiasa nchini Marekani kati ya wabunge wa Democrats na wale wa chama tawala cha Republican kuhusu ufadhili wa fedha kwaajili ya ujenzi wa ukut...

Listen
Gurudumu la Uchumi
Mzozo kuhusu Uingereza kujitoa kwenye umoja wa Ulaya from 2019-01-31T09:33:25

Makala ya Uchumi juma hili inaangazia mvutano kati ya wabunge wa chama tawala na wale wa upinzani nchini Uingereza ambao wanavutana kuhusu kuafikiana na mkataba wa umoja wa Ulaya utakaowezesha...

Listen
Gurudumu la Uchumi
Gurudumu la Uchumi - Mzozo kuhusu Uingereza kujitoa kwenye umoja wa Ulaya from 2019-01-31T09:33:25

Makala ya Uchumi juma hili inaangazia mvutano kati ya wabunge wa chama tawala na wale wa upinzani nchini Uingereza ambao wanavutana kuhusu kuafikiana na mkataba wa umoja wa Ulaya utakaowezesha...

Listen
Gurudumu la Uchumi
Umuhimu wa kuwa na malengo ya kutumiza katika mwaka mpya 2019 from 2019-01-09T11:48:07

Makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili inajadili kuhusu umuhimu wa kuwa na malengo pale mwaka mpya unapoanza, unatakiwa kufanya nini kutimiza malengo mapya na yale ambayo hukufanikiwa kutumiza...

Listen
Gurudumu la Uchumi
Gurudumu la Uchumi - Umuhimu wa kuwa na malengo ya kutumiza katika mwaka mpya 2019 from 2019-01-09T11:48:07

Makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili inajadili kuhusu umuhimu wa kuwa na malengo pale mwaka mpya unapoanza, unatakiwa kufanya nini kutimiza malengo mapya na yale ambayo hukufanikiwa kutumiza...

Listen
Gurudumu la Uchumi
Gurudumu la Uchumi - Kwanini wananchi wengi hawawezi kupanga bajeti mwishoni mwa mwaka? from 2018-12-26T16:46:55

Makala haya ya Gurudumu la Uchumi inaangazia changamoto za raia kushindwa kupanga bajeti hususani mwishoni mwa mwaka na kujikuta wakiwa na changamoto za kiuchumi mwanzoni mwa mwaka. Ungana na ...

Listen
Gurudumu la Uchumi
Gurudumu la Uchumi - Wajasiriamali wadogo wanashirikishwa katika ujenzi wa uchumi wa viwanda nchini Tanzania? from 2018-11-17T13:01:40

Ushiriki wa wananchi katika uchumi wa viwanda unaohubiriwa na serikali ya Tanzania. Sabina Mpelo amekuandalia makala ya Gurudumu la uchumi

Listen
Gurudumu la Uchumi
Gurudumu la Uchumi - Bajeti za nchi za Afrika Mashariki from 2018-08-12T14:30:52

Makala haya juma hili inazitazama bajeti za nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki na ikiwa zitaweza kuzifikisha nchi hizo katika kufikia nchi za vipato vya kati na kuondokana na utegemezi.

Listen
Gurudumu la Uchumi
Gurudumu la Uchumi - Mkutano wa wakuu wa nchi za G7 na mvutano wao na rais wa Marekani from 2018-08-12T14:26:35

Makala haya juma hili inaangazia changamoto zilizojitokeza wakati wa mkutano wa wakuu wa nchi 7a zenye nguvu ya kiuchumi duniani waliokutana nchini Canada, ambapo walivutana pakubwa na rais wa...

Listen
Gurudumu la Uchumi
Gurudumu la Uchumi - Namna nishati mbadala inavyoweza kuchochea uchumi wa viwanda from 2018-08-12T14:22:22

Makala haya juma hili inazungumza na wataalamu wa nishati mbadala hasa wanaotenegeneza nishati mbadala ya kuni namna inavyoweza kusaidia katika ukuaji wa uchumi na kuelekea uchumi wa viwanda.<...

Listen
Gurudumu la Uchumi
Gurudumu la Uchumi - Maandalizi kuelekea maonesho ya kimataifa ya saba saba nchini Tanzania manufaa yake kiuchumi from 2018-08-12T14:19:23

Makala haya juma hili inazungumza na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania, TanTrade nchini Tanzania kuhusu maandalizi kuelekea maonesho ya kimataifa ya saba saba ambayo hufabnyika nchini ...

Listen
Gurudumu la Uchumi
Gurudumu la Uchumi - Utoroshaji wa mitaji na fedha nje ya nchi, athari za kiuchumi from 2018-08-12T14:16:36

Makala ya juma hili inaangazia athari za kiuchumi zinazosababishwa na utoroshaji wa mitaji na fedha nje ya nchi hasa kwa mataifa ya Afrika.

Listen
Gurudumu la Uchumi
Gurudumu la Uchumi - Athari za kiuchumi kwa nchi ya Iran baada ya Marekani kujitoa kwenye mkataba wa kimataifa wa nyuklia from 2018-08-12T14:14:01

Mtangazaji wa makala haya juma hili ameangazia hatua ya Marekani kujitoa kwenye mkataba wa kimataifa wa nyuklia wa Iran pamoja na kutangaza vikwazo vya kiuchumi dhidi ya taifa hilo, je kutakuw...

Listen
Gurudumu la Uchumi
Gurudumu la Uchumi - Umuhimu wa misitu na namna inavyoweza kutumika kibiashara, sehemu ya kwanza from 2018-05-12T14:41:03

Makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili inaangazia umuhimu wa sekta ya misitu kwenye uchumi wa nchi zinazoendelea.

Listen
Gurudumu la Uchumi
Gurudumu la Uchumi - Hali tete ya usalama Sudani Kusini na namna inavyoathiri ukuaji wa uchumi wa taofa hilo from 2018-05-12T14:37:49

Mtangazaji wa makala haya ameangazia hali tete ya usalama inayoendelea kushuhudiwa nchini Sudan Kusini na namna inavyoathiri ukuaji wa uchumi wa taifa hilo.

Listen
Gurudumu la Uchumi
Gurudumu la Uchumi - Ushirikiano kati ya sekta binafsi Tanzania na Ufaransa from 2018-05-12T14:37:42

Makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili imeangazia mkutano wa hivi karibuni kati ya taasisi ya wafanyabiashara wa sekta binafsi kutoka nchini Ufaransa waliofanya ziara nchini Tanzania kukutana ...

Listen
Gurudumu la Uchumi
Gurudumu la Uchumi - Mvutano wa kibiashara kati ya Marekani na Uchina from 2018-05-12T14:34:57

Makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili inaangazia mzozo wa kibiashara ulioibuka hivi karibuni kati ya Marekani na China ambazo kila mmoja ametangaza kuongeza ushuru wa forodha kutoka katika bi...

Listen
Gurudumu la Uchumi
Gurudumu la Uchumi - Umuhimu wa Sekta binafsi barani Afrika hasa wakati huu mkataba wa biashara huria ukiwa umetiwa saini from 2018-05-12T14:07:06

Makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili inaangazia umuhimu wa sekta binafsi katika maendeleo ya bara la Afrika kiuchumi na hasa baada ya hivi karibuni viongozi wa bara la Afrika kukubaliana na ...

Listen
Gurudumu la Uchumi
Gurudumu la Uchumi - Kuimarika kwa uhusiano wa kidiplomasia na kiuchumi kati ya Tanzania na Israel from 2018-05-12T12:43:27

Makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili inaangazia kuanza kurejea kwa mahusiano ya kawaida ya kidiplomasia na kiuchumi kati ya nchi ya Israel na Tanzania, ambapo Tanzania imefungua rasmi ubaloz...

Listen
Gurudumu la Uchumi
Gurudumu la Uchumi - Sehemu ya pili kuhusu umuhimu wa misitu kiuchumi from 2018-05-12T12:43:19

Makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili inakuletea sehemu ya pili ya mjadala kuhusu umuhimu wa misitu nchini Tanzania kiuchumi.

Listen