Gurudumu la Uchumi - Kwanini wananchi wengi hawawezi kupanga bajeti mwishoni mwa mwaka? - a podcast by RFI

from 2018-12-26T16:46:55

:: ::


Makala haya ya Gurudumu la Uchumi inaangazia changamoto za raia kushindwa kupanga bajeti hususani mwishoni mwa mwaka na kujikuta wakiwa na changamoto za kiuchumi mwanzoni mwa mwaka. Ungana na Fredrick Nwaka, aliyekuandalia makala haya.

Further episodes of Gurudumu la Uchumi

Further podcasts by RFI

Website of RFI