Gurudumu la Uchumi - Maandalizi kuelekea maonesho ya kimataifa ya saba saba nchini Tanzania manufaa yake kiuchumi - a podcast by RFI

from 2018-08-12T14:19:23

:: ::


Makala haya juma hili inazungumza na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania, TanTrade nchini Tanzania kuhusu maandalizi kuelekea maonesho ya kimataifa ya saba saba ambayo hufabnyika nchini Tanzania kila ifikapo mwezi wa saba.

Further episodes of Gurudumu la Uchumi

Further podcasts by RFI

Website of RFI