Gurudumu la Uchumi - Umuhimu wa Sekta binafsi barani Afrika hasa wakati huu mkataba wa biashara huria ukiwa umetiwa saini - a podcast by RFI

from 2018-05-12T14:07:06

:: ::


Makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili inaangazia umuhimu wa sekta binafsi katika maendeleo ya bara la Afrika kiuchumi na hasa baada ya hivi karibuni viongozi wa bara la Afrika kukubaliana na kutia saini mkataba wa biashara huria kwa bara hilo, wataalamu wa masuala ya uchumi wanamtazamo gani pamoja na wadau? Ungana na mtayarishaji wa makala haya.

Further episodes of Gurudumu la Uchumi

Further podcasts by RFI

Website of RFI