Changamoto ya upatikanaji wa chanjo ya Covid 19 barani Afrika - a podcast by RFI

from 2021-08-30T18:32:19

:: ::


Kwa mara nyingine viongozi wa Afrika wamezitaka nchi zilizoendelea kuondoa haki miliki katika utengenezaji wa chanjo ya Covid 19 wakati huu wakilalama kutokuwepo na usawa .

Unaamini wito wao utasababisha kupata dozi zaidi ?

Unafikiri kwa nini bara la Afrika limechoma idadi ndogo zaidi ya chanjo na hali ikoje kwenye nchi yako ?

Tutumie maoni yako kwenda namba yetu ya watsapp ukianza na +254 110 000 420

Further episodes of Habari RFI-Ki

Further podcasts by RFI

Website of RFI