Dunia yaendelea kukabiliana na maambukizi ya Omicron - a podcast by RFI

from 2022-01-12T17:10:28

:: ::


Shirika la afya duniani WHO linasema barani Ulaya nusu ya raia wa eneo hilo watakuwa wameambukizwa virusi vya Omicron katika kipindi cha miezi miwili ijayo.

Wewe unaendelea kuchukuwa tahadhari dhidi ya Covid 19.

Hali ikoje kwa nchi yako?

Further episodes of Habari RFI-Ki

Further podcasts by RFI

Website of RFI