Habari RFI-Ki - Jeshi la Uganda kuingia nchini DRC - a podcast by RFI

from 2021-11-30T17:31:33

:: ::


Rais wa DRC FĂ©lix Tshisekedi amekubali kuingia kwa wanajeshi kutoka nchini Uganda kusaidia kupambana na waasi wa ADF.

Je unafikiri jeshi la Uganda linaweza kumaliza waasi wa ADF ?

Further episodes of Habari RFI-Ki

Further podcasts by RFI

Website of RFI