Habari RFI-Ki - Kauli ya Donald Trump ilivyoleta hisia tofauti duniani - a podcast by RFI

from 2019-07-17T17:53:04

:: ::


Donald Trump, rais wa Marekani ametoa kauli kali ya kuwataka wabunge wanne wa Democrats kurudi waliokotoka, matamshi ambayo yamezua hofu huku wabunge hao wakimshutumu Trump kwa matamshi ya ubaguzi na kumtaka aombe radhi. Fredrick Nwaka amekuandalia makala haya kwa kuzungumza na wasikilizaji ili kupata maoni yao

Further episodes of Habari RFI-Ki

Further podcasts by RFI

Website of RFI