Habari RFI-Ki - Maoni ya msikilizaji kuhusu gharama ya mtandao - a podcast by RFI

from 2021-04-29T17:57:06

:: ::


Taifa la Tanzania limeendelea kuongoza kwa mwaka pili sasa kuwa la kwanza Afrika mashariki kwa matumizi ya chini sana ya internet, ikichukuwa nafasi ya Somalia ambayo kwa sasa ni ya 3. Haya ni kwa mjibu wa takwimu iliyotolewa hivi karibuni na kampuni ya utafiti ya teknolojia ya Uingereza.

Kwenye makala haya msikilizaji anatoa maoni kuhusu gharama ya mtandao katika taifa lake.

Further episodes of Habari RFI-Ki

Further podcasts by RFI

Website of RFI