Habari RFI-Ki - Mzozo wa kisiasa nchini Sudan, nini Maoni yako - a podcast by RFI

from 2021-09-28T18:21:19

:: ::


Baada ya jaribio la mapinduzi nchini Sudan, taifa hilo sasa huenda likatumbukia katika mzozo mwingine wa kisiasa,

baada ya raia kuandamana kupinga bazara la viongozi la sasa.

Je una mtazamo gani kwa kile kinachoendelea nchini Sudan?

Haya hapa baadhi ya maoni yako?

Further episodes of Habari RFI-Ki

Further podcasts by RFI

Website of RFI