Habari RFI-Ki - Rais Paul Kagame aonya nchi yoyote itakayochezea amani na usalama wa taifa lake - a podcast by RFI

from 2019-11-17T13:38

:: ::


Rais Paul Kagame wa Rwanda ametoa onyo kali kwa taifa lolote litakalochezea amani na usalam wa Rwanda, onyo linalokuja baada ya kuahirishwa kwa mazungumza baina ya Kigali na Kampala yanayolenga kumaliza mvutano uliopo baina ya mataifa hayo mawili. Fredrick Nwaka amekuandalia makala haya kwa kuzungumza na wasikilizaji.

Further episodes of Habari RFI-Ki

Further podcasts by RFI

Website of RFI