Habari RFI-Ki - Serikali mpya yatangazwa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo - a podcast by RFI

from 2021-04-15T08:16:40

:: ::


Waziri Mkuu wa DRC, ametangaza baraza  jipya la mawaziri Jean-Michel Sama Lukonde Kyenge, alilosema litakuwa na jukumu la kuhakikisha usalama Mashariki mwa Congo, pamoja na kupambana na vitendo vya rushwa.

Je una imani na serikali hii mpya ?

Further episodes of Habari RFI-Ki

Further podcasts by RFI

Website of RFI