Habari RFI-Ki - Uingereza yataka vyeti maalum vya chanjo ya Corona - a podcast by RFI

from 2021-04-07T10:15:33

:: ::


Uingereza imetangaza kuwa kufikia mwisho mwaka 2021 ,kadi za kuthibitisha umechomwa chanjo ya kuzuia Corona ,zitakuwa inatumika kama vile passpoti ? Unazungumziaje hatua ya Uingereza na unadhani itakuwa njia mbadala ya kuondoa masharti makali ya kupambana na Corona ?

Further episodes of Habari RFI-Ki

Further podcasts by RFI

Website of RFI