Habari RFI-Ki - Una maoni gani kuhusu hukumu ya kifo - a podcast by RFI

from 2021-05-17T18:22:34

:: ::


Mwishoni mwa juma lililopita mahakama nchini DRC imewahukumu kunyongwa hadi kufa watu 29 waliodaiwa kuhusika katika vurugu za ibada ya kumalizika kwa mwezi mtukufu wa ramadhani, ambapo polisi mmoja aliuawa na watu wengine kadhaa kujeruhiwa.

Ni hukumu iliyoibua maswali na hisia mseto nchini humo.

Wewe una mtazamo gani kuhusu hukumu hii? haya hapa baadhi ya maoni yako.

Further episodes of Habari RFI-Ki

Further podcasts by RFI

Website of RFI