Kenya - Wageni kuonyesha cheti kuthibitisha wamepokea chanjo ya Covid 19. - a podcast by RFI

from 2021-12-08T15:09:06

:: ::


Serikali ya Kenya imetangaza kuwa ni lazima kwa raia yeyote wa kigeni kutoka mataifa ya kigeni kutoa cheti cha covid kuonesha amepokea chanjo ya Covid 19.

Unadhani mataifa mengine ya Africa mashariki yanastahili kuchukuwa hatua kama hii?

Further episodes of Habari RFI-Ki

Further podcasts by RFI

Website of RFI