Mataifa ya magharibi yatishia kuichukulia hatua kali urusi - a podcast by RFI

from 2022-01-27T17:08:54

:: ::


Nchi za magharibi zimetishia kuichukulia hatua Urusi,iwapo itaivamia Ukraine wakati huu rais Emmanuel Macron wa Ufaransa akitazamiwa kuzungumza na rais Vladmiri Putin wa Urusi ,ijumaa ijayo. Ungana na mwanahabari wetu Reuben Lukumbuka kusikiliza zaidi

Further episodes of Habari RFI-Ki

Further podcasts by RFI

Website of RFI