Ukeketaji kwa jamii za Kiafrica - a podcast by RFI

from 2022-02-08T16:57:02

:: ::


Mwishoni mwa juma lililopita, dunia iliadhilisha siku ya kimataifa ya kupinga vitendo vya ukeketaji, umoja wa Mataifa ukionya kuhusu mila hizi potofu dhidi ya wanawake na wasichana.

Unadhani nini kifanyike kumaliza mila hizi?

Haya hapa baadhi ya maoni yenu.

Further episodes of Habari RFI-Ki

Further podcasts by RFI

Website of RFI