Wafanyakazi wa Umoja wa mataifa watuhumiwa kwa ubakaji DRC - a podcast by RFI

from 2021-09-30T17:57:03

:: ::


Wafanyakazi wa mashariki na tume za umoja wa mataifa, wamendelea kutuhumiwa kwa vitendo vya udhalalishaji wa kingono dhidi ya wanawake, tukio la hivi punde likiwa nchini DRC.

Unazungumziaje tuhuma hizi ?

Haya hapa baadhi ya maoni yako.

Further episodes of Habari RFI-Ki

Further podcasts by RFI

Website of RFI