Waziri mkuu wa Ethiopia , Abiy Ahmed, ajiunga na jeshi kupambana na waasi. - a podcast by RFI

from 2021-11-25T04:00:02

:: ::


Waziri mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed amejiunga na  wanajeshi kwenye uwanja wa vita dhidi ya waasi wa Tigray.

Kiongozi wa zamani wa Chad pia alifanya uamuzi kama huo na akauwawa kwenye mapigano dhidi ya waasi.

Je unadhani Abiy kuchua hatua hiyo hatari ni vyema kwa nchi yake ?

Haya hapa baadhi ya maoni yako.

Further episodes of Habari RFI-Ki

Further podcasts by RFI

Website of RFI