Africa imetambua kuwa iko huru? - a podcast by RFI

from 2021-06-08T18:35:12

:: ::


Katika makala haya tunajadili iwapo bara la Africa, limetambua umuhimu kuwa  huru, na iwapo bado mataifa ya magharibi yana ushawishi kwa siasa kwa mataifa Africa, na uchumi wake.

Benson wakoli amezungumza na mwanahistoria Lugete Mussa Lugete.

Further episodes of Jua Haki Zako

Further podcasts by RFI

Website of RFI