Podcasts by Jua Haki Zako

Jua Haki Zako

Jua Haki Zako ni makala yanayokuelimisha juu ya umuhimu wa kufahamu haki zako na sheria halali zilizomo kwenye jamii, mataifa na dunia kwa ujumla. Jua Haki Zako itakuelimisha juu ya masuala mbalimbali ya kisheria ndani ya Afrika Mashariki, Afrika na Duniani kwa ujumla.

Further podcasts by RFI

Podcast on the topic Regierung

All episodes

Jua Haki Zako
Haki za wafungwa kushiriki tendo la ndoa from 2022-02-09T11:00:03

katika makala haya mwandishi wetu Benson Wakoli, amengazia haki za wafungwa.

Listen
Jua Haki Zako
Haki za watoto barani Africa na majukumu yao from 2022-02-08T15:54:55

Katika makala haya mwandishi wetu Benson Wakoli, ameangazia kwa kina haki za watoto na majukumu yao kwa jamii.

Listen
Jua Haki Zako
Siku 16 za kumaliza dhuluma za kijinsia duniani from 2021-12-07T08:00:02

Dunia imekuwa ikizingatia siku 16 za kampeini za kutokomeza dhuluma za kijinsia kwa jamii, wadau wakitumia nguvu zote kuhamasisha jamii kujiepuesha na pia kumaliza dhulama za kijinsia.

Listen
Jua Haki Zako
Jua Haki Zako - Tanzania - wasichana waliojifungua kurejea shuleni from 2021-11-30T17:23:13

Mwaka 2018 aliyekuza rais wa Jumhuri ya muungano wa Tanzania hayati John pombe Magufuli ameweka marufuku ya kuwazuia wasicha waliojifungua kuendelea na masomo yao kutokana na sababu kadhaa, il...

Listen
Jua Haki Zako
Tanzania - wasichana waliojifungua kurejea shuleni from 2021-11-30T17:23:13

Mwaka 2018 aliyekuza rais wa Jumhuri ya muungano wa Tanzania hayati John pombe Magufuli ameweka marufuku ya kuwazuia wasicha waliojifungua kuendelea na masomo yao kutokana na sababu kadhaa, il...

Listen
Jua Haki Zako
Jua Haki Zako - Ukiukaji wa haki za binadamu nchini Ethiopia from 2021-11-23T23:30:02

Ripoti ya umoja wa mataifa imebaini kuwa huenda vikosi vya serikali na waasi wa TPLF, jimboni Tigray walihusika kwa ukiukaji wa haki za binadamu, umoja wa mataifa ukipendekeza uchuguzi zaidi k...

Listen
Jua Haki Zako
Ukiukaji wa haki za binadamu nchini Ethiopia from 2021-11-23T23:30:02

Ripoti ya umoja wa mataifa imebaini kuwa huenda vikosi vya serikali na waasi wa TPLF, jimboni Tigray walihusika kwa ukiukaji wa haki za binadamu, umoja wa mataifa ukipendekeza uchuguzi zaidi k...

Listen
Jua Haki Zako
Jua Haki Zako - Usawa wa kinjisia barani Africa from 2021-11-23T09:00:02

Usawa wa kijinsia katika mataifa mengi hapa Africa ni swala ambalo limekuwa kama donda sugu kwa kina mama, hali ambayo imefanya baadhi kujitoa, kuhakikisha kuwa swala hili linashugulikiwa na v...

Listen
Jua Haki Zako
Usawa wa kinjisia barani Africa from 2021-11-23T09:00:02

Usawa wa kijinsia katika mataifa mengi hapa Africa ni swala ambalo limekuwa kama donda sugu kwa kina mama, hali ambayo imefanya baadhi kujitoa, kuhakikisha kuwa swala hili linashugulikiwa na v...

Listen
Jua Haki Zako
Jua Haki Zako - Matumizi ya bidhaa za Tobacco yanatishia afya ya barani Africa from 2021-10-18T18:37:30

Pamekuwa na kempeni ya kumaliza bidhaa ya Tobacco katika matifa mengi ya Africa, kutokana na athari ya bidhaa hizo kwa afya ya bindamu, lakini wahusika katika sekta inayopinga matum...

Listen
Jua Haki Zako
Matumizi ya bidhaa za Tobacco yanatishia afya ya barani Africa from 2021-10-18T18:37:30

Pamekuwa na kempeni ya kumaliza bidhaa ya Tobacco katika matifa mengi ya Africa, kutokana na athari ya bidhaa hizo kwa afya ya bindamu, lakini wahusika katika sekta inayopinga matum...

Listen
Jua Haki Zako
Jua Haki Zako - Haki ya dhamana nchini Uganda matatani from 2021-10-18T13:59:08

Rais wa Uganda amependekeza dhamana ya kuondolewa kwenye kifungu cha katiba ya taifa hilo, akidai inatumika visivyo.

Makala haya yanaangazia athari ya kuondelewa kwa kifungo hicho kwa...

Listen
Jua Haki Zako
Haki ya dhamana nchini Uganda matatani from 2021-10-18T13:59:08

Rais wa Uganda amependekeza dhamana ya kuondolewa kwenye kifungu cha katiba ya taifa hilo, akidai inatumika visivyo.

Makala haya yanaangazia athari ya kuondelewa kwa kifungo hicho kwa...

Listen
Jua Haki Zako
Jua Haki Zako - Lugha ya ishara yaanza kupata umaarufu from 2021-10-06T18:28:22

Luhga ya ishara ni moja ya lugha ambazo zimeanza kutiliwa maanani na mataifa mbalimbali kwa manufaa ya kuwasiliana bila vikwazo na ndugu na dada zetu ambao wanaishi na ulemavu kuskia.

Listen

Jua Haki Zako
Lugha ya ishara yaanza kupata umaarufu from 2021-10-06T18:28:22

Luhga ya ishara ni moja ya lugha ambazo zimeanza kutiliwa maanani na mataifa mbalimbali kwa manufaa ya kuwasiliana bila vikwazo na ndugu na dada zetu ambao wanaishi na ulemavu kuskia.

Listen

Jua Haki Zako
Jua Haki Zako - Serikali kukosa kuwalinda waathiriwa wa dhuluma za kijinsia from 2021-09-27T23:00:06

Shirika la kutetea haki za binadamu ya Human Right Watch, limetuhumu serikali ya Kenya, kwa kukosa walinda kina dada dhidi ya dhuluma za kijinsia.

Listen
Jua Haki Zako
Serikali kukosa kuwalinda waathiriwa wa dhuluma za kijinsia from 2021-09-27T23:00:06

Shirika la kutetea haki za binadamu ya Human Right Watch, limetuhumu serikali ya Kenya, kwa kukosa walinda kina dada dhidi ya dhuluma za kijinsia.

Listen
Jua Haki Zako
Jua Haki Zako - Haki za waathiriwa wa mashambulizi ya wanajihadi from 2021-09-27T16:44:34

Familia nyingi za mashambulizi yanayotokana na wanajihadi, zinaendelea kudai fidia huku zikituhumu serikali zao kwa kukosa kuhakikisha wanapata haki.

Listen
Jua Haki Zako
Haki za waathiriwa wa mashambulizi ya wanajihadi from 2021-09-27T16:44:34

Familia nyingi za mashambulizi yanayotokana na wanajihadi, zinaendelea kudai fidia huku zikituhumu serikali zao kwa kukosa kuhakikisha wanapata haki.

Listen
Jua Haki Zako
Jua Haki Zako - Mvutanao kati ya mashirika ya kiraia na vyombo vya usalama from 2021-09-06T08:44:25

katika makala haya tunatofautisha haki za raia na usalama wao, kumekuwa na mjadala kuhusu raia kulalamika wakidai kuwa maafisa wa usalama wamekuwa wakivuka mipaka wakati wakapokabiliana na was...

Listen
Jua Haki Zako
Mvutanao kati ya mashirika ya kiraia na vyombo vya usalama from 2021-09-06T08:44:25

katika makala haya tunatofautisha haki za raia na usalama wao, kumekuwa na mjadala kuhusu raia kulalamika wakidai kuwa maafisa wa usalama wamekuwa wakivuka mipaka wakati wakapokabiliana na was...

Listen
Jua Haki Zako
Jua Haki Zako - Haki za wanawake katika nyadhifa za uongozi Afrika Mashariki from 2021-08-31T16:54:43

Kwenye makala haya tunajikita kwenye haki za wanawake kuwania au kuteuliwa kwenye nyadhifa mbalimbali za uongozi katika bara la Africa hasa Africa Mashariki.

Mwenyekiti wa chama cha m...

Listen
Jua Haki Zako
Haki za wanawake katika nyadhifa za uongozi Afrika Mashariki from 2021-08-31T16:54:43

Kwenye makala haya tunajikita kwenye haki za wanawake kuwania au kuteuliwa kwenye nyadhifa mbalimbali za uongozi katika bara la Africa hasa Africa Mashariki.

Mwenyekiti wa chama cha m...

Listen
Jua Haki Zako
Jua Haki Zako - Haki za raia wanaokimbia Afghanistan from 2021-08-23T09:00:10

Katika makala haya Benson wakoli anazungumza  na wakili Ojwang Agina, anayetoa mtazamo wa kisheria kuhusu  haki za raia wanaokimbia Afghanistan na mwanahistoria , Lugete Mussa Lugete,  ataelez...

Listen
Jua Haki Zako
Haki za raia wanaokimbia Afghanistan from 2021-08-23T09:00:10

Katika makala haya Benson wakoli anazungumza  na wakili Ojwang Agina, anayetoa mtazamo wa kisheria kuhusu  haki za raia wanaokimbia Afghanistan na mwanahistoria , Lugete Mussa Lugete,  ataelez...

Listen
Jua Haki Zako
Haki ya Punda kuendelea kukiukwa from 2021-08-16T09:20:07

Katika makala haya  tunaangazia haki za mnyama punda  ambaye ametejwa kuwa muhimu sana katika sekta ya uchukuzi na hata kuimarisha uchumi kwa kuwapa ajira raia wanaowafuga.

Listen
Jua Haki Zako
Jua Haki Zako - Haki ya Punda kuendelea kukiukwa from 2021-08-16T09:20:07

Katika makala haya  tunaangazia haki za mnyama punda  ambaye ametejwa kuwa muhimu sana katika sekta ya uchukuzi na hata kuimarisha uchumi kwa kuwapa ajira raia wanaowafuga.

Listen
Jua Haki Zako
Jua Haki Zako - Haki za wanajumuiya Afrika Mashariki from 2021-08-02T18:28:40

Wiki hii tunaangazia haki za wananchi kutoka mataifa ya Jumuiya ya Afrika Mashariki na tunathathmini Jumuiya hiyo kwa kina.

Listen
Jua Haki Zako
Haki za wanajumuiya Afrika Mashariki from 2021-08-02T18:28:40

Wiki hii tunaangazia haki za wananchi kutoka mataifa ya Jumuiya ya Afrika Mashariki na tunathathmini Jumuiya hiyo kwa kina.

Listen
Jua Haki Zako
Jua Haki Zako - Watoto kupotea wakati wa vita au uvamizi from 2021-07-26T09:00:14

Visa vya uvamizi au vita vya kikabila vimechangia sana, watoto kupoteleana na familia zao, baadhi ya mashariki yakilazimika kuchukua hatua ya kupatanisha watoto waliopotea na familia zao.
...

Listen
Jua Haki Zako
Watoto kupotea wakati wa vita au uvamizi from 2021-07-26T09:00:14

Visa vya uvamizi au vita vya kikabila vimechangia sana, watoto kupoteleana na familia zao, baadhi ya mashariki yakilazimika kuchukua hatua ya kupatanisha watoto waliopotea na familia zao.
...

Listen
Jua Haki Zako
Jua Haki Zako - Usajili wa watoto kwa makundi ya waasi from 2021-07-19T09:00:07

Taifa la Sudan Kusini limeshutumiwa na umoja wa mataifa kwa kukiuka haki mbalimbali za binadamu moja wepo ikiwa kuwasajili watoto kuwa wanajeshi.

Katika makala haya  Jeffa mbugwa Njen...

Listen
Jua Haki Zako
Usajili wa watoto kwa makundi ya waasi from 2021-07-19T09:00:07

Taifa la Sudan Kusini limeshutumiwa na umoja wa mataifa kwa kukiuka haki mbalimbali za binadamu moja wepo ikiwa kuwasajili watoto kuwa wanajeshi.

Katika makala haya  Jeffa mbugwa Njen...

Listen
Jua Haki Zako
Jua Haki Zako - Idadi kubwa ya wakenya hawafahamu nia ya serikali kutaka kufanyia katiba marekebisho from 2021-07-06T08:00:07

katika Makala haya tunajikita  nchini Kenya ambapo mchakato mzima wa kufanyia katiba marekebisho umekwama kutokana na hatua ya mahakama kuu nchini humo kusimamisha mchakato huo  kwa msingi kuw...

Listen
Jua Haki Zako
Idadi kubwa ya wakenya hawafahamu nia ya serikali kutaka kufanyia katiba marekebisho from 2021-07-06T08:00:07

katika Makala haya tunajikita  nchini Kenya ambapo mchakato mzima wa kufanyia katiba marekebisho umekwama kutokana na hatua ya mahakama kuu nchini humo kusimamisha mchakato huo  kwa msingi kuw...

Listen
Jua Haki Zako
Jua Haki Zako - Siku ya mtoto wa Kiafrica ina maana gani? from 2021-06-21T12:51:09

Tarehe 16 ya mwezi Juni kila mwaka Bara la Afrika linaadhimisha siku ya mtoto wa Afrika, lengo likiwa ni kuikumbusha jamii na mataifa ya Afrika kuhusu umuhimu wa kulinda na kutetea haki za wat...

Listen
Jua Haki Zako
Siku ya mtoto wa Kiafrica ina maana gani? from 2021-06-21T12:51:09

Tarehe 16 ya mwezi Juni kila mwaka Bara la Afrika linaadhimisha siku ya mtoto wa Afrika, lengo likiwa ni kuikumbusha jamii na mataifa ya Afrika kuhusu umuhimu wa kulinda na kutetea haki za wat...

Listen
Jua Haki Zako
Africa imetambua kuwa iko huru? from 2021-06-08T18:35:12

Katika makala haya tunajadili iwapo bara la Africa, limetambua umuhimu kuwa  huru, na iwapo bado mataifa ya magharibi yana ushawishi kwa siasa kwa mataifa Africa, na uchumi wake.

Bens...

Listen
Jua Haki Zako
Jua Haki Zako - Africa imetambua kuwa iko huru? from 2021-06-08T18:35:12

Katika makala haya tunajadili iwapo bara la Africa, limetambua umuhimu kuwa  huru, na iwapo bado mataifa ya magharibi yana ushawishi kwa siasa kwa mataifa Africa, na uchumi wake.

Bens...

Listen
Jua Haki Zako
Uraia wa watoto wakimbizi ni upi? from 2021-06-03T18:08:43

Hakuna taifa  lina uwezo wa kuwarejesha wakimbizi katika mataifa yao bila ya hiari yao, sheria za kimataifa zinawalinda wakimbizi, anavyoeleza wakili Ojwang Agina, katika makala haya.

Listen
Jua Haki Zako
Jua Haki Zako - Uraia wa watoto wakimbizi ni upi? from 2021-06-03T18:08:43

Hakuna taifa  lina uwezo wa kuwarejesha wakimbizi katika mataifa yao bila ya hiari yao, sheria za kimataifa zinawalinda wakimbizi, anavyoeleza wakili Ojwang Agina, katika makala haya.

Listen
Jua Haki Zako
Je wakimbizi wa haki? skiza makala haya from 2021-05-24T08:48:39

Shirika la umoja wa mataifa linaloshughulikia wakimbizi UNHCR, limeeleza kuguswa na visa vya  mamlaka nchini Tanzania, kuwazuia wakimbizi na watafuta hifadhi wanaokimbia mashambulizi ya wanaji...

Listen
Jua Haki Zako
Jua Haki Zako - Je wakimbizi wa haki? skiza makala haya from 2021-05-24T08:48:39

Shirika la umoja wa mataifa linaloshughulikia wakimbizi UNHCR, limeeleza kuguswa na visa vya  mamlaka nchini Tanzania, kuwazuia wakimbizi na watafuta hifadhi wanaokimbia mashambulizi ya wanaji...

Listen
Jua Haki Zako
Hukumu ya kifo bado inatekelezwa na mataifa kadhaa from 2021-05-11T18:23:41

Katika Makala ya Jua Haki Zao, juma hili tunaangazia hukumu ya kifo ambayo bado mataifa mengi duniani yanatelekeza hukumu hiyo, hapa tunajadili umuhimu wa maisha kwa mjibu wa maandiko matakati...

Listen
Jua Haki Zako
Jua Haki Zako - Hukumu ya kifo bado inatekelezwa na mataifa kadhaa from 2021-05-11T18:23:41

Katika Makala ya Jua Haki Zao, juma hili tunaangazia hukumu ya kifo ambayo bado mataifa mengi duniani yanatelekeza hukumu hiyo, hapa tunajadili umuhimu wa maisha kwa mjibu wa maandiko matakati...

Listen
Jua Haki Zako
Jua Haki Zako - Juhudi za madaktari na wanaharakati kukomesha ukeketaji from 2021-05-03T10:00:09

Kwa mjibu wa shirika la umoja wa mataifa UN, msichana au mwanake moja kati ya 4 huwa amekeketwa kwa kutumia za njia za kiasili au hata wengine hukeketwa na watalaam wa afya wasiozingatia maadi...

Listen
Jua Haki Zako
Juhudi za madaktari na wanaharakati kukomesha ukeketaji from 2021-05-03T10:00:09

Kwa mjibu wa shirika la umoja wa mataifa UN, msichana au mwanake moja kati ya 4 huwa amekeketwa kwa kutumia za njia za kiasili au hata wengine hukeketwa na watalaam wa afya wasiozingatia maadi...

Listen
Jua Haki Zako
Jua Haki Zako - Ukeketaji bado unafanyika barani Afrika from 2021-04-26T16:48:22

Katika makala haya tunadali swala ukeketeji wa wanawake barani afrika, ambalo kwa mjibu wa shirika la afya dunia WHO, mataifa 29 katika bara hili bado ya wanakeketa wanawake licha ya hamishish...

Listen
Jua Haki Zako
Ukeketaji bado unafanyika barani Afrika from 2021-04-26T16:48:22

Katika makala haya tunadali swala ukeketeji wa wanawake barani afrika, ambalo kwa mjibu wa shirika la afya dunia WHO, mataifa 29 katika bara hili bado ya wanakeketa wanawake licha ya hamishish...

Listen
Jua Haki Zako
Jua Haki Zako - Mashirika ya kiraia yanatoa mtazamo kuhusu kufungwa kambi za wakimbizi Kenya from 2021-04-20T23:00:08

Masharika ya kiraia nchini Kenya yanapinga hatua ya serikali kutangaza kufungwa kwa Kambi za wakimbizi za Kakuma na Dadaab, masharika hayo yakisema serikali inakikuka sheria sheria.

M...

Listen
Jua Haki Zako
Jua Haki Zako - Mahojiano na Peter Solomon anayepinga kufungwa kambi za wakimbizi Kenya from 2021-04-20T12:20:06

Serikali ya Kenya ilitoa makataa kwa shirika la umoja wa mataifa linaloshughulikia wakimbizi UNCHR ,kufunga kambi za wakimbizi ya Daadab na Kakuma kwa kohofu makali ya Corona na swala la usala...

Listen
Jua Haki Zako
Jua Haki Zako - Tamko la Afrika kuhusu demokrasia chaguzi huru na utawala bora linatekelezeka? from 2020-02-04T08:51:53

Imetimia miaka 13 tangu bara la Afrika kuridhia tamko la demokrasia, utawala bora na chaguzi huru za haki. Tunaangazia tamko hilo na wajibu wa viongozi na asasi za kiraia kukuza demokrasia bar...

Listen
Jua Haki Zako
Jua Haki Zako - Fahamu kuhusu utaratibu wa kisheria baada ya kuvunjika kwa uchumba from 2019-12-02T11:05:31

Mara kadhaa katika mataifa ya Afrika kumeripotiwa matukio ya kuvunjika kwa uchumba baina ya mwanaume na mwanamke waliokuwa na matarajio ya kufunga ndoa. Je utaratibu wa kisheria ukoje? Ungana ...

Listen
Jua Haki Zako
Jua Haki Zako - Ulimwengu waadhimisha siku ya kimataifa ya kupinga ukatili dhidi ya wanawake huku vitendo hivyo badoi vikiripotiwa katika mataifa mbalimbali from 2019-11-26T07:54:42

Dunia inaadhimisha siku ya kimataifa ya kupinga ukatili dhidi ya wanawake na wasichana huku kundi hili likikabiliwa na changamoto mbal;imbali kama ndoa za utotoni, kudhalilishwa na kupigwa, uk...

Listen
Jua Haki Zako
Jua Haki Zako - Haki ya mwajiri na mwajiriwa kwa kuzingatia misingi ya mikataba ya kimataifa na kikanda from 2019-11-18T10:09:29

Makala ya Jua haki zako wiki hii inaangazia haki za mwajiri na mwajiriwa kulingana na mikataba ya kimataifa, kikanda na sheria za nchi mbalimbali. Ungana na Fredrick Nwaka akizungumza na mwana...

Listen
Jua Haki Zako
Jua Haki Zako - Ukatili wa kijinsia na wajibu wa raia na serikali kukabiliana na vitendo hivyo from 2019-08-12T10:24:14

Matukio ya ukatili wa kijinsia bado ni changamoto katika mataifa ya Afrika mashariki na kati, tunaangazia namna utafiti na sheria zinavyoweza kusaidia kutatua changamoto hii. Ungana na Fredric...

Listen
Jua Haki Zako
Jua Haki Zako - Umoja wa Mataifa unatekeleza kwa vitendo ulinzi wa haki za binadamu from 2019-06-16T13:37:42

Makala ya Jua Haki Zako juma hili inaangazia ikiwa umoja wa Mataifa unatekeleza kwa vitendo kuhusu ulinzi wa haki za binadamu kiduni.

Listen
Jua Haki Zako
Jua Haki Zako - Ripoti ya shirika la save the children kuhusu hali ya watoto from 2019-06-16T13:34:43

Makala ya Jua Haki Zako juma hili inaitazama kwa kina ripoti ya shirika la kimataifa la Save the Children iliyoangazia hali ya watoto duniani.

Listen
Jua Haki Zako
Jua Haki Zako - Uwepo wa vituo vya Mateso kwenye mataifa from 2019-06-16T13:30:22

Makala ya Jua Haki Zako juma hili inajadili kuhusu uwepo wa vituo vya kutesea ambavyo vimetengenezwa kwa siri na serikali mbalimbali duniani kwa lengo la kuwahoji kwa njia ya mateso watuhumiwa...

Listen
Jua Haki Zako
Jua Haki Zako - Ripoti ya LHRC kuhusu ukatili wa kingono dhidi ya watoto nchini Tanzania from 2019-06-16T13:27:22

Makala ya Jua Haki Zako juma hili inaidadavua kwa kina ripoti ya kituo cha sheria na haki za binadamu nchini Tanzania LHRC kuhusu ukatili wa kingono dhidi ya watoto.

Listen
Jua Haki Zako
Jua Haki Zako - Haki za Wanawake na Watoto Nchini Tanzania from 2019-06-16T13:25:11

Makala ya Jua Haki Zako juma hili inazungumza na wanaharakati wa nchini Tanzania ambao wanafanya sanaa ya muziki na wanatumia muziki kufikisha ujumbe kuhusu kuheshimiwa kwa haki za watoto nchi...

Listen
Jua Haki Zako
Jua Haki Zako - Dhana ya utawala bora barani Afrika na haki za binadamu from 2019-06-16T13:22:55

Makala ya Jua Haki Zako juma hili inajadili kwa kina kuhusu dhana ya utawala bora barani Afrika, kwanini viongozi wengi wa Afrika wanangangania kukaa madarakani hata baada ya muhula wao? Kwani...

Listen
Jua Haki Zako
Jua Haki Zako - Ripoti ya Amnesty International kuhusu utekelezwaji wa adhabu ya kifo duniani from 2019-06-16T13:19:42

Makala ya Jua Haki Zako juma hili inaangazia ripoti ya shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International kuhusu utekelezaji wa adhabu ya kunyonga duniani, unajua ni mataifa mangapi ...

Listen
Jua Haki Zako
Jua Haki Zako - Dunia inajifunza nini kutokana na mauaji ya kimbari na kuheshimu haki za binadamu from 2019-06-16T13:15:26

Makala ya Jua Haki Zako juma hili inaangazia maadhimisho ya mauaji ya kimbari, ikitazama kwa kina ni ikiwa dunia imejifunza kutokana na ukatili na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu ulioteke...

Listen
Jua Haki Zako
Jua Haki Zako - Haki za Watoto: Dhulma za Kingono pwani ya Kenya from 2019-06-16T13:11:57

Makala ya Jua Haki Zako juma hili inaangazia ukatili wa kijinsia dhidi ya watoto pwani ya Kenya. Karibu usikilize makala haya.

Listen
Jua Haki Zako
Jua Haki Zako - Sheria za makosa ya ubakaji Afrika Mashariki from 2019-06-16T13:11:35

Makala ya Jua Haki Zako juma hili inaangazia sheria za makosa ya ubakaji kwenye nchi za Afrika Mashariki, je zinafanya kazi vema kuzuia ubakaji dhidi ya wasichana? Ungana na mtayarishaji wa ma...

Listen
Jua Haki Zako
Jua Haki Zako - Mpango wa kufunga kambi ya Daadab: Zipi haki za wakimbizi wanaoishi kwenye kambi from 2019-06-16T13:11:01

Makala ya Jua Haki Zako juma hili inaangazia mpango wa Serikali ya Kenya kutaka kuifunga kambi kubwa ya wakimbizi duniani ya Daadab, je hatua hii watetezi wa haki za binadamu wanaitazamaje? Ma...

Listen
Jua Haki Zako
Jua Haki Zako - Haki ya Kupata Dhamana kwa Mtuhumiwa Sehemu ya Pili from 2019-03-11T10:30:36

Karibu katika Sehemu ya pili Katika Makala Haya tukiangazia Haki ya kupata Dhamana kwa Mtuhumiwa.

Unagana na Steven Mumbi katika Makala haya akizungumza na Wakili wa Kujitegemea kutok...

Listen
Jua Haki Zako
Jua Haki Zako - Haki ya Kupata Dhamana kwa Mtuhumiwa from 2019-03-11T10:18:10

Katika Makala Haya tunaangazia Haki ya kupata Dhamana kwa Mtuhumiwa.

Unagana na Steven Mumbi katika Makala haya akizungumza na Wakili wa Kujitegemea kutoka nchini Tanzania, Jebra Kamb...

Listen
Jua Haki Zako
Jua Haki Zako - Kuzimwa kwa Internet DRC ni ukiukaji wa haki za binadamu? from 2019-01-09T11:43:58

Makala ya Jua Haki Zako juma hili inaangazia hatua ya kuzimwa kwa huduma ya mtandao {Internet} nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, je kitendo kilichofanywa na Serikali kinakiuka haki za b...

Listen
Jua Haki Zako
Jua Haki Zako - Tathimini ya haki za binadamu barani Afrika mwaka 2018 na matarajio ya 2019 from 2018-12-24T10:06:17

Bara la Afrika mwaka 2018 limekabiliwa na vitendo vya ukiukwaji wa haki za binadamu ikiwemo mauaji, utekaji nyara, utungwaji wa sheria zinazokinzana na uhuru wa kujieleza na kukusanyika. Fredr...

Listen
Jua Haki Zako
Jua Haki Zako - Raia wa Afrika mashariki wako huru kufanya shughuli za kiuchumi katika nchi wanachama? from 2018-12-03T11:01:31

Raia wa Afrika Mashariki wako huru kufanya bioashara na shughuli nyingine za kiuchumi na kijamii katika nchi wanachama za Kenya, Tanzania, Uganda, Rwanda, Burundi na Sudani Kusini. Fredrick Nw...

Listen
Jua Haki Zako
Jua Haki Zako - Wanaharakati wanavyokabiliana na vitendo vya ukatili dhidi ya wanawake na wasichana from 2018-11-26T11:35:10

Novemba 25 kila mwaka dunia huadhimisha siku ya kupinga ukatili dhidi ya wanawake lakini bado zipo changamoto zinazomkabili mwanamke. Fredrick Nwaka amekuandalia makala haya

Listen
Jua Haki Zako
Jua Haki Zako - Haki za Kiuchumi zilivyojadiliwa katika mkutano wa haki za binadamu barani Afrika from 2018-11-19T10:15:18

Hivi karibuni kulifanyika mkutano wa 63 wa haki za binadamu barani Afrika ambao uliangazia mwenendo wa haki za binadamu kwa mataifa mbalimbali ya Afrika. Miongoni mwa agenda zilizojadiliwa ni ...

Listen
Jua Haki Zako
Jua Haki Zako - Haki za wanawake katika nafasi za uongozi nchini DRC from 2018-08-07T16:44:27

Makala ya Jua Haki Zako juma hili inaangazia kuhusu ushiriki wa wanawake katika siasa na uongozi nchini DRC na hasa wakati huu nchi hiyo ikijiandaa kufanya uchaguzi wake mkuu.

Listen