Idadi kubwa ya wakenya hawafahamu nia ya serikali kutaka kufanyia katiba marekebisho - a podcast by RFI

from 2021-07-06T08:00:07

:: ::


katika Makala haya tunajikita  nchini Kenya ambapo mchakato mzima wa kufanyia katiba marekebisho umekwama kutokana na hatua ya mahakama kuu nchini humo kusimamisha mchakato huo  kwa msingi kuwa wanzilishi wa mchakato huo rais Uhuru Kenyatta, na kingozi wa upinzani Raila Odinga, hakufuata sheria wakati wakianzisha mchakato huo.

Benson Wakoli amelizamia swala hili katika makala haya

Further episodes of Jua Haki Zako

Further podcasts by RFI

Website of RFI