Je wakimbizi wa haki? skiza makala haya - a podcast by RFI

from 2021-05-24T08:48:39

:: ::


Shirika la umoja wa mataifa linaloshughulikia wakimbizi UNHCR, limeeleza kuguswa na visa vya  mamlaka nchini Tanzania, kuwazuia wakimbizi na watafuta hifadhi wanaokimbia mashambulizi ya wanajihadi eneo la Cabo Delgado nchini Musumbiji kuingia nchini Tanzania.

Kwa mjibu wa UNHCR ni kwamba wakimbizi 1,500 walazimika kurejea katika eneo la mapigano hali ambayo imetajwa kuwa ya kusikitisha sana.

Katika makala haya nitazungumza na wakili Ojwang Agina kutoka nchini Kenya mbaye anafafanua kuhusiana na haki za wakimbizi.

Further episodes of Jua Haki Zako

Further podcasts by RFI

Website of RFI