Jua Haki Zako - Haki za Kiuchumi zilivyojadiliwa katika mkutano wa haki za binadamu barani Afrika - a podcast by RFI

from 2018-11-19T10:15:18

:: ::


Hivi karibuni kulifanyika mkutano wa 63 wa haki za binadamu barani Afrika ambao uliangazia mwenendo wa haki za binadamu kwa mataifa mbalimbali ya Afrika. Miongoni mwa agenda zilizojadiliwa ni haki za kiuchumi. Fredrick Nwaka amekuandalia makala haya

Further episodes of Jua Haki Zako

Further podcasts by RFI

Website of RFI