Jua Haki Zako - Mahojiano na Peter Solomon anayepinga kufungwa kambi za wakimbizi Kenya - a podcast by RFI

from 2021-04-20T12:20:06

:: ::


Serikali ya Kenya ilitoa makataa kwa shirika la umoja wa mataifa linaloshughulikia wakimbizi UNCHR ,kufunga kambi za wakimbizi ya Daadab na Kakuma kwa kohofu makali ya Corona na swala la usalama.Hata hivyo mashirika ya kiraia yalifika mahakamani kupinga hatua huyo. Peter Solomon ni mmoja wa wakenya waliofika mahakamani.

Mwandishi wetu Benson Wakoli amefanya mahojiano naye,kufahamu ni kwa nini anapinga kufungwa kwa kambi hizo.

Further episodes of Jua Haki Zako

Further podcasts by RFI

Website of RFI