Jua Haki Zako - Mvutanao kati ya mashirika ya kiraia na vyombo vya usalama - a podcast by RFI

from 2021-09-06T08:44:25

:: ::


katika makala haya tunatofautisha haki za raia na usalama wao, kumekuwa na mjadala kuhusu raia kulalamika wakidai kuwa maafisa wa usalama wamekuwa wakivuka mipaka wakati wakapokabiliana na washukiwa.

Mtaalamu wa usalama Tuta Richard, anatoa ufafanuzi kwenye makala haya.

Further episodes of Jua Haki Zako

Further podcasts by RFI

Website of RFI