Siku ya mtoto wa Kiafrica ina maana gani? - a podcast by RFI

from 2021-06-21T12:51:09

:: ::


Tarehe 16 ya mwezi Juni kila mwaka Bara la Afrika linaadhimisha siku ya mtoto wa Afrika, lengo likiwa ni kuikumbusha jamii na mataifa ya Afrika kuhusu umuhimu wa kulinda na kutetea haki za watoto.

 Mkataba wa haki  za watoto kwa mara ya kwanza uliridhiwa na uliokuwa umoja wa Afrika OAU Julai 11 mwaka 1990 na kuanza kutekelezwa tarehe 29 November mwaka 1999, baada ya miaka 25 toka mkataba huo kuridhiwa ambapo nchi 47 za Afrika zilitia saini mkataba huu.

Further episodes of Jua Haki Zako

Further podcasts by RFI

Website of RFI