Ukeketaji bado unafanyika barani Afrika - a podcast by RFI

from 2021-04-26T16:48:22

:: ::


Katika makala haya tunadali swala ukeketeji wa wanawake barani afrika, ambalo kwa mjibu wa shirika la afya dunia WHO, mataifa 29 katika bara hili bado ya wanakeketa wanawake licha ya hamishisho ambazo zimefanywa kwa jamii kuachana na mila hiyo ambayo imepitwa na wakati na mbayo ina mathara mengi ya kiafya kwa wanawake.

Further episodes of Jua Haki Zako

Further podcasts by RFI

Website of RFI