Usajili wa watoto kwa makundi ya waasi - a podcast by RFI

from 2021-07-19T09:00:07

:: ::


Taifa la Sudan Kusini limeshutumiwa na umoja wa mataifa kwa kukiuka haki mbalimbali za binadamu moja wepo ikiwa kuwasajili watoto kuwa wanajeshi.

Katika makala haya  Jeffa mbugwa Njenga,  ni mkurugezi mkuu wa shirika lisilokuwa la kiserekali la Grass Root empowerement and deveopment organization, ambalo linajishuhulisha na shughuli mbali mbali za kusaidia  raia sudan Kusini, kuu likiwa kuwasadia watoto ambao husajiliwa kwa jeshi na baadaye kurejea kwa jamii

Further episodes of Jua Haki Zako

Further podcasts by RFI

Website of RFI