Usawa wa kinjisia barani Africa - a podcast by RFI

from 2021-11-23T09:00:02

:: ::


Usawa wa kijinsia katika mataifa mengi hapa Africa ni swala ambalo limekuwa kama donda sugu kwa kina mama, hali ambayo imefanya baadhi kujitoa, kuhakikisha kuwa swala hili linashugulikiwa na viongozi walio madarkani.

 

Skiza makala haya kwa ufahamu mengi

Further episodes of Jua Haki Zako

Further podcasts by RFI

Website of RFI