Kilimo katika maeneo kame - a podcast by RFI

from 2022-02-08T09:28:33

:: ::


Makala ya Mazingira leo Dunia yako Keshi, juma hili imeangazia namna wakazi wa kwenye maeneo yenye ukame nchini Kenya, wameweza kutafuta njia mbadala ya kufanya kilimo kwenye maeneo yao pamoja na kutumia nishati jadidifu kwa umwagiliaji.

Further episodes of Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Further podcasts by RFI

Website of RFI