Podcasts by Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Ni Makala yanayoangazia kwa jicho la tatu mazingira halisi ya dunia yalivyo bila kusahau kile ambacho kinachangia kuyaharibu. Utapata kufahamu namna ambavyo mazingira na rasilimali zinavyoharibiwa huku pia teknolojia ikijumuishwa. Hakika mazingira mazuri ya leo ni dunia yako kesho.

Further podcasts by RFI

Podcast on the topic Wissenschaft

All episodes

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Mifuko ya Plastaic kero kwa mazingira from 2022-02-08T15:43:05

Makala haya yanaangazia uchafuzi wa mazingira utokanao na plastiki, Minzlet Ijai amezungumza vijana kutoka    shirika lisislo la kiserikali la Green Globe  jijini Nairobi, ambalo linafanya utu...

Listen
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Kilimo katika maeneo kame from 2022-02-08T09:28:33

Makala ya Mazingira leo Dunia yako Keshi, juma hili imeangazia namna wakazi wa kwenye maeneo yenye ukame nchini Kenya, wameweza kutafuta njia mbadala ya kufanya kilimo kwenye maeneo yao pamoja...

Listen
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Miaka 50 ya UNEP na changamoto ya mabadiliko ya tabianchi from 2022-01-20T15:53:51

Makala ya Mazingira Leo Dunia Yako Kesho, juma hili inaangazia miaka 50 ya shirika la umoja wa Mataifa linalohusika na Mazingira UNEP, hasa wakati huu dunia ikikabiliwa na changamoto mbalimbal...

Listen
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
UNEP yaadhimisha miaka 50: Mafanikio na changamoto ? from 2022-01-19T08:00:37

Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa-UNEP linaadhimisha miaka 50 tangu kuundwa kwake. Tunaangazia mafanikio na changamoto.

Listen
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Wanawake wanavyongaika kufuatia mabadiliko ya tabia nchi from 2022-01-11T17:14:22

Wanawake huwa katika hatari zaidi za kuathiriwa na athari zitokanazo na mabadiliko ya tabianchi, na haswa katika mazingira ya umasikini, kutokana na uwezo wao mdogo wa kukabiliana na majanga k...

Listen
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Kuyeyuka kwa barafu katika bahari la Arctic from 2022-01-11T16:57:42

Makala haya yanaangazia linasababisha kuyeyuka kwa barafu katika eneo la bahari la Arctic inayotajwa kuyeyuka kwa kasi kubwa pamoja na athari za kuyeyuka kwa barafu hiyo kwa joto la dunia.

Listen
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Uhifadhi wa wanyamara pori katikati ya janga la mabadiliko ya tabianchi from 2021-12-28T10:41:36

Makala ya Mazingira leo dunia yako kesho juma hili, inaangazia kuhusu uhifadhi wa wanyama pori hasa wakati huu ambao dunia inashuhudia mabadiliko ya tabianchi ambayo, hali ambayo kwa sehemu ku...

Listen
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Ukuzaji wa uyoga kwenye misitu nchini Kenya from 2021-12-14T17:35:39

Tunaangazia namna Mamlaka inayotunza misitu nchini Kenya inavyozihusisha jamii katika kulinda na kuhifadhi misitu kupitia mradi wa maendeleo wa Green Zones awamu ya pili unaofadhiliwa na Benki...

Listen
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho - Sehemu ya Kwanza Uchunguzi kuhusu biashara ya mkaa Kenya kaunti ya Kitui from 2021-11-02T17:25:52

Kwenye makala ya juma hili, tunaangazia kwanini biashara ya mkaa imeendelea licha ya Serikali kuipiga marufuku nchini Kenya, makala haya yanaletwa kwenu kwa udhamini wa Shirika la Ufaransa la ...

Listen
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Sehemu ya Kwanza Uchunguzi kuhusu biashara ya mkaa Kenya kaunti ya Kitui from 2021-11-02T17:25:52

Kwenye makala ya juma hili, tunaangazia kwanini biashara ya mkaa imeendelea licha ya Serikali kuipiga marufuku nchini Kenya, makala haya yanaletwa kwenu kwa udhamini wa Shirika la Ufaransa la ...

Listen
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho - Sehemu ya pili uchunguzi kuhusu biashara ya mkaa Kenya from 2021-11-02T17:20:07

Katika makala ya mazingira leo dunia yako kesho juma hili, tunaendelea na sehemu ya pili ya makala ya uchunguzi kuhusu biashara ya mkaa nchini Kenya kaunti ya Kitui, leo ikiangazia usafirishwa...

Listen
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Sehemu ya pili uchunguzi kuhusu biashara ya mkaa Kenya from 2021-11-02T17:20:07

Katika makala ya mazingira leo dunia yako kesho juma hili, tunaendelea na sehemu ya pili ya makala ya uchunguzi kuhusu biashara ya mkaa nchini Kenya kaunti ya Kitui, leo ikiangazia usafirishwa...

Listen
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho - Changamoto ya maji katika maeneo yenye idadi kubwa ya watu from 2021-09-02T08:42:56

Makala ya Mazingira Leo Dunia Yako Kesho, inaangazia siku ya kimataifa ya maji na namna raia kwenye maeneo yenye idadi kubwa ya watu wanasaidika.

Listen
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Changamoto ya maji katika maeneo yenye idadi kubwa ya watu from 2021-09-02T08:42:56

Makala ya Mazingira Leo Dunia Yako Kesho, inaangazia siku ya kimataifa ya maji na namna raia kwenye maeneo yenye idadi kubwa ya watu wanasaidika.

Listen
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho - Kenya inajaribu kudhibiti athari za mabadiliko ya tabia nchi from 2021-09-02T08:33:05

Makala ya Mazingira Leo Dunia Yako Kesho, inaangazia ripoti ya umoja wa Mataifa kuhusu athari za mabadiliko ya tabia nchi na namna nchi ya Kenya inavyojaribu kukabiliana na changamoto za kimaz...

Listen
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Kenya inajaribu kudhibiti athari za mabadiliko ya tabia nchi from 2021-09-02T08:33:05

Makala ya Mazingira Leo Dunia Yako Kesho, inaangazia ripoti ya umoja wa Mataifa kuhusu athari za mabadiliko ya tabia nchi na namna nchi ya Kenya inavyojaribu kukabiliana na changamoto za kimaz...

Listen
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho - Binadamu wanachangia pakubwa kuharibu mazingira: UN from 2021-09-02T08:29:10

Makala ya Mazingira Leo Dunia Yako Kesho, juma hili inaangazia kuhusu ripoti ya umoja wa Mataifa kuhusu mabadiliko ya tabia nchini.

Listen
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Binadamu wanachangia pakubwa kuharibu mazingira: UN from 2021-09-02T08:29:10

Makala ya Mazingira Leo Dunia Yako Kesho, juma hili inaangazia kuhusu ripoti ya umoja wa Mataifa kuhusu mabadiliko ya tabia nchini.

Listen
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho - Mchango wa Vyombo vya habari katika mazingira from 2021-09-02T08:25:39

Makala ya Mazingira Leo Dunia Yako Kesho, juma hili inaangazia mchango wa vyombo vya habari katika mazingira.

Listen
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Mchango wa Vyombo vya habari katika mazingira from 2021-09-02T08:25:39

Makala ya Mazingira Leo Dunia Yako Kesho, juma hili inaangazia mchango wa vyombo vya habari katika mazingira.

Listen
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho - Wadau katika tamasha la Bleu Economy wazungumzia athari za uchafuzi wa bahari from 2021-07-30T10:45:47

Makala Mazingira leo Dunia yako Kesho, mwenzangu Ali Bilali amezumza na wadau wa mazingira katika tamasha la wiki moja lililoandaliwa mjini Mombasa na Alliance Francaise ya Mombasa chini ya Uf...

Listen
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Wadau katika tamasha la Bleu Economy wazungumzia athari za uchafuzi wa bahari from 2021-07-30T10:45:47

Makala Mazingira leo Dunia yako Kesho, mwenzangu Ali Bilali amezumza na wadau wa mazingira katika tamasha la wiki moja lililoandaliwa mjini Mombasa na Alliance Francaise ya Mombasa chini ya Uf...

Listen
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho - Athari za mazingira na changamoto za kisaikolojia from 2021-07-19T08:54:40

Makala ya Mazingira Leo Dunia Yako Kesho, hivi leo inaangazia namna majanga ya kimazingira yanachangia watu kwenye jamii kupata changamoto za kisaikolojia na namna mamlaka zinaweza kutoa msaad...

Listen
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Athari za mazingira na changamoto za kisaikolojia from 2021-07-19T08:54:40

Makala ya Mazingira Leo Dunia Yako Kesho, hivi leo inaangazia namna majanga ya kimazingira yanachangia watu kwenye jamii kupata changamoto za kisaikolojia na namna mamlaka zinaweza kutoa msaad...

Listen
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho - Mchango wa madhehebu ya kidini katika utunzaji wa Mazingira from 2021-07-12T18:07:48

Makala ya Mazingira Leo Dunia yako Kesho, hivi leo inaangazia mchango wa madhehebu ya kidini katika utunzaji wa Mazingira.

Listen
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Mchango wa madhehebu ya kidini katika utunzaji wa Mazingira from 2021-07-12T18:07:48

Makala ya Mazingira Leo Dunia yako Kesho, hivi leo inaangazia mchango wa madhehebu ya kidini katika utunzaji wa Mazingira.

Listen
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho - Mchango wa asasi za kiraia katika utunzaji wa Mazingira from 2021-07-12T17:54:27

Makala ya Mazingira leo dunia yako kesho, inaangazia mchango wa mashirika ya kiraia katika utunzaji wa mazingira.

Listen
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Mchango wa asasi za kiraia katika utunzaji wa Mazingira from 2021-07-12T17:54:27

Makala ya Mazingira leo dunia yako kesho, inaangazia mchango wa mashirika ya kiraia katika utunzaji wa mazingira.

Listen
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho - Migogoro ya ardhi na changamoto za kimazingira from 2021-06-25T15:21:47

Makala ya mazingira leo dunia yako kesho, hivi leo inaangazia kuhusu mizozo ya mara kwa mara kwenye jamii za hapa Afrika Mashariki kuhusu ardhi.

Listen
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Migogoro ya ardhi na changamoto za kimazingira from 2021-06-25T15:21:47

Makala ya mazingira leo dunia yako kesho, hivi leo inaangazia kuhusu mizozo ya mara kwa mara kwenye jamii za hapa Afrika Mashariki kuhusu ardhi.

Listen
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho - Matukio ya Volkano na namna wananchi wanaweza kujilinda from 2021-06-25T15:17:41

Makala ya mazingira Leo Dunia Yako Kesho, inaangazia kuhusu mlipuko wa Volkano, chanzo chake na namna ya kukabiliana na milipuko ya baadae.

Listen
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Matukio ya Volkano na namna wananchi wanaweza kujilinda from 2021-06-25T15:17:41

Makala ya mazingira Leo Dunia Yako Kesho, inaangazia kuhusu mlipuko wa Volkano, chanzo chake na namna ya kukabiliana na milipuko ya baadae.

Listen
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho - Siku ya Kimataifa ya Mazingira from 2021-06-25T15:11:35

Makala ya Mazingira leo Dunia yako Kesho, hivi leo inaangazia maadhimisho ya siku ya kimataifa ya mazingira, yaliyofanyika Juni 5.

Listen
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Siku ya Kimataifa ya Mazingira from 2021-06-25T15:11:35

Makala ya Mazingira leo Dunia yako Kesho, hivi leo inaangazia maadhimisho ya siku ya kimataifa ya mazingira, yaliyofanyika Juni 5.

Listen
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho - Changamoto maji safi na maji taka nchini Kenya from 2021-06-25T14:54:29

Makala ya Mazingira leo dunia yako kesho, hivi leo inaangazia changamoto ya kimazingira katika upatikanaji wa maji safi na maji taka kwenye miji mbalimbali nchini Kenya.

Listen
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Changamoto maji safi na maji taka nchini Kenya from 2021-06-25T14:54:29

Makala ya Mazingira leo dunia yako kesho, hivi leo inaangazia changamoto ya kimazingira katika upatikanaji wa maji safi na maji taka kwenye miji mbalimbali nchini Kenya.

Listen
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho - Huduma za maji safi na maji taka jijini Nairobi from 2021-05-11T18:32:05

Makala ya Mazingira leo dunia yako Kesho, hivi leo inaangazia changamoto ya upatikanaji wa maji safi jijini Nairobi lakini pia miondombinu ya usafirishaji wa maji taka.

Mtayarishaji w...

Listen
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Huduma za maji safi na maji taka jijini Nairobi from 2021-05-11T18:32:05

Makala ya Mazingira leo dunia yako Kesho, hivi leo inaangazia changamoto ya upatikanaji wa maji safi jijini Nairobi lakini pia miondombinu ya usafirishaji wa maji taka.

Mtayarishaji w...

Listen
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Biashara ya mkaa inavyoharibu mazingira from 2021-05-03T18:33:23

Biashara ya mkaa ni moja kati ya mambo yanayochangia pakubwa uharibifu wa misitu katika maeneo mengi ya ukanda wa Afrika Mashariki, hii ni kutokana na ukataji wa misitu kwa matumizi ya mkaa. Listen

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho - Biashara ya mkaa inavyoharibu mazingira from 2021-05-03T18:33:23

Biashara ya mkaa ni moja kati ya mambo yanayochangia pakubwa uharibifu wa misitu katika maeneo mengi ya ukanda wa Afrika Mashariki, hii ni kutokana na ukataji wa misitu kwa matumizi ya mkaa. Listen

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Madhara ya kutoweka kwa misitu na mabadiliko ya tabia nchi from 2021-05-03T18:04:53

Misitu ni uhai, kama ilivyo kwa maji na viumbe hai wengine katika mazingira yetu. Wataalamu wanasema sehemu kubwa ya athari za mabadiliko ya tabia nchi zinazoshuhudiwa sasa duniani, zimechangi...

Listen
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho - Madhara ya kutoweka kwa misitu na mabadiliko ya tabia nchi from 2021-05-03T18:04:53

Misitu ni uhai, kama ilivyo kwa maji na viumbe hai wengine katika mazingira yetu. Wataalamu wanasema sehemu kubwa ya athari za mabadiliko ya tabia nchi zinazoshuhudiwa sasa duniani, zimechangi...

Listen
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Umuhimu wa kuhifadhi misitu ya mikoko from 2021-04-28T16:29:33

Msitu ya mikoko  inadaiwa kuchangia kuimarisha mazingiza hasa eneo la pwani, ambapo mwandishi wetu Minzlet Ijai ametembelea eneo la pwani ya Kenya na kutangamana na wenyeji kuelewa umuhimu wa ...

Listen
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho - Umuhimu wa kuhifadhi misitu ya mikoko from 2021-04-28T16:29:33

Msitu ya mikoko  inadaiwa kuchangia kuimarisha mazingiza hasa eneo la pwani, ambapo mwandishi wetu Minzlet Ijai ametembelea eneo la pwani ya Kenya na kutangamana na wenyeji kuelewa umuhimu wa ...

Listen
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Athari ya mifuko ya plastic kwa mazingira ya baharini from 2021-04-28T05:00:08

Uchafuzi wa mazingira unaotokana na mifuko ya plastic ni moja wapo ya  changamoto zinazoathiri pakubwa mazingira ya baharini mbali na kuchangia mabadiliko ya tabia nchi.

Kwa mjibu wa ...

Listen
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho - Athari ya mifuko ya plastic kwa mazingira ya baharini from 2021-04-28T05:00:08

Uchafuzi wa mazingira unaotokana na mifuko ya plastic ni moja wapo ya  changamoto zinazoathiri pakubwa mazingira ya baharini mbali na kuchangia mabadiliko ya tabia nchi.

Kwa mjibu wa ...

Listen
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho - Serikali ya Tanzania yawafunga tembo vifaa maalum from 2018-09-25T17:57:09

Katika makala haya hii leo tunaangazia hatua ya serikali ya Tanzania  kuwafunga Tembo vifaa maalum kwa ajili ya kufuatilia mienendo yao ili kuweza kuwaratibu.

Listen
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Serikali ya Tanzania yawafunga tembo vifaa maalum from 2018-09-25T17:57:09

Katika makala haya hii leo tunaangazia hatua ya serikali ya Tanzania  kuwafunga Tembo vifaa maalum kwa ajili ya kufuatilia mienendo yao ili kuweza kuwaratibu.

Listen
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho - Fahamu Faida za Biashara Rafiki Wa Mazingira from 2017-01-18T07:00:31

Hakika msikilizaji wetu utakubaliana naami ya Kwamba Pale popote duniani, uchumi wa wananchi na taifa huimarika kutokana na kushamiri kwa biashara. Iwe inafanywa na sekta binafsi au taasisi.Ba...

Listen
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Fahamu Faida za Biashara Rafiki Wa Mazingira from 2017-01-18T07:00:31

Hakika msikilizaji wetu utakubaliana naami ya Kwamba Pale popote duniani, uchumi wa wananchi na taifa huimarika kutokana na kushamiri kwa biashara. Iwe inafanywa na sekta binafsi au taasisi.Ba...

Listen
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho - Fahamu Juu ya Umuhimu wa Kuhifadhi Misitu from 2017-01-10T07:51:05

Hakika msikilizaji wetu unakubaliana naami ya kwamba Misitu ni Uhai, kwa kutambua umuhimu wa usemi huu makala yetu inagazia kwa mara nyingine juu ya umuhimu wa kuhifadhi misitu lakini vile vil...

Listen
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Fahamu Juu ya Umuhimu wa Kuhifadhi Misitu from 2017-01-10T07:51:05

Hakika msikilizaji wetu unakubaliana naami ya kwamba Misitu ni Uhai, kwa kutambua umuhimu wa usemi huu makala yetu inagazia kwa mara nyingine juu ya umuhimu wa kuhifadhi misitu lakini vile vil...

Listen
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho - Fahamu Juu ya Umuhimu wa Madili ya Kutunza Mazingira from 2017-01-10T06:44:49

Maadili ni miongoni mwa vitu muhimu sana katika ujenzi wa jamii yoyote lile, bila uwepo wa nidhamu ya kutosha jamii yoyote ile haiwezi kuendelea. Maendeleo ya kiuchumi na ustawi wa jamii hau...

Listen
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Fahamu Juu ya Umuhimu wa Madili ya Kutunza Mazingira from 2017-01-10T06:44:49

Maadili ni miongoni mwa vitu muhimu sana katika ujenzi wa jamii yoyote lile, bila uwepo wa nidhamu ya kutosha jamii yoyote ile haiwezi kuendelea. Maendeleo ya kiuchumi na ustawi wa jamii hau...

Listen
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho - Fahamu juu Mkutano wa 22 wa nchi wanachama wa mkataba wa mabadiliko ya tabianchi from 2016-11-26T13:03:27

Mkutano wa 22 wa nchi wanachama wa mkataba wa mabadiliko ya tabianchi umeanza huko Marrakesh, Morocco, ikiwa ni siku chache tu baada ya kuanza rasmi kutekelezwa kwa mkataba wa Paris kuhusu mab...

Listen
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho - Tathmini Fupi ya Mkutano wa mabadiliko ya hali ya hewa wa Marrakesh from 2016-11-26T12:42:14

Viongozi kutoka mataifa mabli mablikutoka ulimwenguni walikutana mjini Marrakech, Morocco katika Mkutano wa Umoja wa Mataifa kuhusu mabadiliko ya tabia nchi COP22.Makala yetu ya mazingira Le...

Listen
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho - Fahamu Mwaka 2016 Kuvunja Rekodi ya kuwa Mwaka wenye Joto Zaidi from 2016-11-26T12:21:44

Kwa mujibu wa ripoti ya WMO imeainisha hali ya joto kidunia imeongezeka mara dufu mwaka 2015/2016 kutokana na dunia kukumbwa na kipindi cha El Nino, El Nino ni hali ya kuongezeka kwa joto kwen...

Listen
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho - Fahamu Juu ya Reporti ya UN ya Namna ya kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi from 2016-11-01T12:57:01

Suala la Mabadiliko ya tabia nchi limekuwa ni miongoni mwa ajenda kuu za Umoja wa Mataifa na jumuiya ya kimataifa kwa mwaka 2014, Katibu Mkuu Ban Ki- Moon amekuwa mstari wa mbele kupigia upatu...

Listen
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho - Fahamu juu ya Suala la Ukusanyaji Taka katika Mjii wa Nairobi from 2016-10-18T15:22:13

Bila Shaka hakuna asiyefahamu kuwa baadhi ya maeneo mengi ya miji yetu ni machafu na uchafu huo huchangiwa sana na mifuko na chupa za plastiki.Kipindi cha Mazingira Leo Dunia Yako kesho kwa ...

Listen
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho - Fahamu Changamoto za Mazingira zinazo likabili Ziwa Victoria from 2016-10-13T16:45:05

Ziwa Victoria lililopo Kanda ya Ziwa ni miongoni mwa vyanzo vikubwa vya maji na maendeleo ya nchi nyingi katika ukanda wa Afrika Mashariki , nyingine kama vile Tanzania Uganda, Rwanda, Buru...

Listen
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho - Sehemu ya Pili:Fahamu juu ya Ufugaji wa samaki wa kisasa kwenye mabwawa ya kuchimbwa from 2016-10-13T15:30:32

Ufugaji wa samaki wa kisasa kwenye mabwawa ya kuchimbwa umekuwa ukishamiri duniani kote inchi kama .Niwazi tumeona baadhi ya inchi nyingi zikizidi kuzalisha nafasi nyingi za ajira kwa shughuli...

Listen
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho - Fahamu juu ya Ufugaji wa samaki wa kisasa na mbinu muhimu za kuzingatia from 2016-10-13T14:59:17

Ufugaji wa samaki wa kisasakwenye visima au mabwawa ya kuchimbwa umekuwa ukishamiri duniani na Ufugaj huu wa samaki ni sawa kama ilivyo shughuli nyingine yoyote ya kiuchumi inahitaji usimami...

Listen
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho - Fahamu Athari za magugu maji kwa Mazingira from 2016-09-22T16:14:06

Suala la kupambana na magugu maji katika ziwa Victoria bado ni changamoto, licha ya kuwepo na jitianda mbali mbali za kupambana na magugu maji katika ziwa hilo.Makala ya Mazinigira Leo,Dunia...

Listen
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho - Fahamu FaidaUfugaji wa nyuki wa kisasa kwa Mazingira from 2016-09-01T10:00:39

Ufugaji wa nyuki wa kisasa unoazingatia matumizi ya vifaa bora ambao huzalisha asali bora lakini pia husaidia katika utunzaji wa Mazingira lakini pia licha ya kusaidia kutunza mazingira, nyuki...

Listen
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho - Fahamu Faida na Athari za Kimazingira zitokanazo na kuhamisha Mji Mkuu Dodoma kutoka Dar es Salaam from 2016-09-01T09:47:20

Uamuzi wa serikali ya jamhuri wa Mungano wa Tanzania kuhamia mji mkuu Dodoma kutoka Dar es Salaam imezua mjadala miongoni mwa watalaamu wa Masuala ya Mazingira.Basi wakati  ofisi ya Waziri Mk...

Listen
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho - Fahamu Naama ya Kenya Inavyokabiliana na Hali Mabdiliko ya Tabia Nchi from 2016-08-16T15:30:21

Mabadiliko ya tabia nchi imekuwa miongoni mwa ajenda kuu za Umoja wa Mataifa na jumuiya ya kimataifaKwa kuona umuhimu wa suala la mabadiliko ya tabia nchi, Serikali ya Kenya Tayari imeanza kuc...

Listen
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho - Fahamu Athari Za Mabadiliko ya Tabia Nchi Kwa Viumbe vya baharini na Matumbawe from 2016-08-16T14:16:48

Wataalamu mbali mbali wa masuala ya wa sayansi ya baharini wamedai ya kwamba n matumbawe katika mwambao wa bahari ya hindi, haswa kisiwani Zanzibar yapo hatari ya kutoweka kutokana na uharibi...

Listen
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho - Changamoto ya Utiririshaji wa Maji Taka Mjini na Naama ya Kukabiliana Nayo from 2016-07-26T13:10:19

Takwaimu za shirika la Afya Duniani zinaonesha kuwa kila sekunde 20 mtoto huafariki kutokana na kipindu pindi au na magonjwa yanayosababishwa na maji machafu.

Basi Makala yetu ya Mazi...

Listen
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho - Fahamu Juu ya Madhimisho ya Wiki ya 6 ya Maji Barani Afrika from 2016-07-18T12:30:24

Tanzania ni Mwenyeji maadhimisho ya 6 ya wiki ya Maji Barani Afrika na Mkutano wa 10 wa Baraza la Mawaziri wa Maji wa Nchi za Afrika Mkutano huo unakutanisha waadu wa masula ya maji zaidi ya...

Listen
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho - Fahamu Kilimo cha kijani ( Green house) na Faida zake Kwa Mazingira from 2016-07-18T12:10:02

Kilimo ndio uti wa mgongo wa uchumi katika mataifa mengi katika bara la Afrika,hii ni kutokana na sekta hiyo imekuwa na mchango mkubwa katika kuchangia pato la taifa haswa kupitia mazao ya...

Listen
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho - Fahamu Kilimo Hai from 2016-06-21T11:33:02

Kilimo hai au organic farming ni aina ya kilimo ambacho huzigatia matumizi endelevu ya rasilimali za mazao ya kilimo pamoja na mifugo.

Kilimo hiki hutumia mara nyingi aina ya mbole...

Listen
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho - Athari za Mazingira Zitokanazo na Kuzimwa kwa Simu Feki za Mkononi Tanzania from 2016-06-18T18:24:22

Serikali ya Tanznaaia kupitia Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA) ilipiga marufuku matumizi ya simu feki za mkononi kuanzia Juni 16 mwaka huu.

Hali hii imesababisha Watanzania wengi kula...

Listen
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho - Fahamu Sheria za Kimataifa za Utunzaji wa Mazingira from 2016-06-18T17:50:14

Harakati za kuhifadhi, kulinda na kusimamia kikamilifu utunzaji wa mazingira na matumizi ya rasilimali mbalimbali duniani limekuwa hai sana katika miaka ya karibuni hasa miaka ya 2000 na kuen...

Listen
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho - Athari za Mabadiliko ya Tabia Nchi from 2016-06-18T17:17:29

Athari za mabadiliko ya tabianchi kwa kiasi kikubwa zinatokana na uharibifu mkubwa wa mazingira, na tayari athari zake zimeanza kujitokeza katika maeneo mbalimbali katika nchi zetu za Afrika ...

Listen