Madhara ya kutoweka kwa misitu na mabadiliko ya tabia nchi - a podcast by RFI

from 2021-05-03T18:04:53

:: ::


Misitu ni uhai, kama ilivyo kwa maji na viumbe hai wengine katika mazingira yetu. Wataalamu wanasema sehemu kubwa ya athari za mabadiliko ya tabia nchi zinazoshuhudiwa sasa duniani, zimechangiwa na kutoweka kwa misitu kunakotokana na shughuli za binadamu.

Nchini Kenya, mamlaka kwenye taifa hilo zinapanga angalau ifikapo mwaka 2022, taifa hilo liwe na ongezeko la kiwango cha asilimia 10 ya misitu, kutoka asilimia 7.2 ya sasa, ambapo itahitaji kupanda miti bilioni 1 na laki 8.

Further episodes of Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Further podcasts by RFI

Website of RFI