Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho - Athari ya mifuko ya plastic kwa mazingira ya baharini - a podcast by RFI

from 2021-04-28T05:00:08

:: ::


Uchafuzi wa mazingira unaotokana na mifuko ya plastic ni moja wapo ya  changamoto zinazoathiri pakubwa mazingira ya baharini mbali na kuchangia mabadiliko ya tabia nchi.

Kwa mjibu wa twakwimu shirila la umoja wa mataifa kuhusu mazingiza UNEP, zaidi ya plastic millioni tatu zinazolishwa kila mwaka, tani millioni nane za plastic hizo huishia baharini.

Minzlet Ijai angazia tatizo hilo kwenye makala haya.

Further episodes of Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Further podcasts by RFI

Website of RFI